RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
- Thread starter
-
- #161
Kusamehe ni kisasi kikubwa kuliko vyote![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa kulipa kisasi angefaa Sana awe rais ili na wengine waonje joto la jiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kwa CCM na Magufuli ni kama kunywa sumu! Wamezoea kubebwa na mabavu ya wabeba magobore!CCM kama kweli mnajiamini ,Kama kweli mnapendwa,Kama kweli hambebwi na tume yenu hii ,ruhusuni tume huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri sana!hivi mkuu,mheshimiwa Lisu tofauti na masuala ya kisheria ambayo sina shaka anayajua hasa,ushawahi kumsikia akiongea jambo lolote kuhusiana na uchumi na maendeleo kwa ujumla?
Kama sio yeye alimsafisha lowasa.Kura yang mali yake.View attachment 1311781
Kama ni kweli, Rais Magufuli hatakubali Tume huru ya uchaguzi iundwe kabla ya uchaguzi mkuu!
Kwa akili ndogo tu hawezi......!Asubir Magu amalize labda.Nchi yetu upinzani bado wamejaa mamluki na wasaka tonge.Wewe unaamini hata kama kuna tume huru Chadema anaweza akashinda?
Haya majinga dawa yao ni kuyapa makavu tu. Hiyo takataka yenu lisu kilichobaki ni kumfanyia maombi tuu ili alee wajukuu home lakini hakuna kazi anayoweza tena labda kumburudisha mkewe. Muwe na huruma jamani kuongoza nchi sio kulea mke.
[/QUOT
Basi ufurahi kuwa takataka anapambana na Jiwe. Kwa hiyo ushindi mtakao pata ni kama kupita bila kupimgwa!
Kisasi kwa lipi!?Lissu hata akishinda ni ngumu kupewa nchi sababu anaonekana kuwa mtu wa visasi - sasa kwa vyovyote vile ama CCM au ACT (rejea DRC Fayulu, Chisekedi na X Tawala)
CCM wakimuweka Membe badala ya Magufuli hapo angalau CCM watapumua! Maana Magufuli tofauti na kutumia mabavu, hana njia nyingine.
Kwa hiyo ni juu ya CCM kujiongeza! Tatizo mapambio ya kusifu na kuabudu Jiwe yamewakolea, hawaoni wala hawasikii!
Wewe ndiyo utamuzuia kuja nchini!? Au unakesha ukiomba asije ili Magufuli apunguze presha za kushindwa uchaguzi mkuu! Maana inaonyesha mpaka wafuasi wake hofu imewazidia!
Nani alikuambia tume huru ndiyo jibu, Kenya kuna tume huru, Raila yuko mitaani hajakanyaga ikulu, Urais ni zaidi ya sanduku la kura. Trump asingekuwa rais kamaTume huru ikipatikana TL hana haja kufanya kampeni . Anapita kwa kishindo
Sent using Jamii Forums mobile app