Hajamaliza anazindua kikanda kwanza akishamaliza ndo anaanza ziara za jimbo kwa jimboDuuuh,kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani,huku chato,Kahama,bukene,Kaliua,Uvinza,Kigoma,Tukuyu,nk,halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajamaliza anazindua kikanda kwanza akishamaliza ndo anaanza ziara za jimbo kwa jimboDuuuh,kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani,huku chato,Kahama,bukene,Kaliua,Uvinza,Kigoma,Tukuyu,nk,halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura
Duuuh,kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani,huku chato,Kahama,bukene,Kaliua,Uvinza,Kigoma,Tukuyu,nk,halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura
Kote anakuja huko stay tuned!ratiba ya safari hii inaitwa zubaisha bwege!Duuuh,kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani,huku chato,Kahama,bukene,Kaliua,Uvinza,Kigoma,Tukuyu,nk,halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura
Ni VP, ila hilo LA ilikuwaje mkuu mie sijui. Ninachoweza ni kusoma picha tuu. Hapo namuona Bashite kaonyesha dole gumba [emoji106] sijui anamaanisha nini maana ni kama anasema mambo safi!Ilikuwaje kwani hapa? Anafanana Sana na VP.
Hapo alimwacha salama kwelii?Ule ufedhuli ni kama wa Bashite kumvua hijab makamu, hautasahaulika kamwe.
Mkuu, mambo ya kiutu uzima hayo!Mbona sielewi
Kwani muda wa kampeni umeisha?Duuuh,kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani,huku chato,Kahama,bukene,Kaliua,Uvinza,Kigoma,Tukuyu,nk,halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura
Tunafuatilia kwa karibu.Anaenda kunadi sera za alivyopigwa risasi.Mandela angekuwa kama Lissu hotuba zake zote zingehusu magereza
The guilty are always afraid!Anaenda kunadi sera za alivyopigwa risasi.Mandela angekuwa kama Lissu hotuba zake zote zingehusu magereza
Swadaktaaaa..naamini kama kuna nyakat ambazo ztawbadilisha watawala akili na mfumo wa kuendesha nchi na maisha ya watu ni sasa. Hili jembe litalima shamba mpaka magugu hayataota tena naamini tena naamini!!!Karibu sana visiwani mzee lissu.
Endelea vile vile kutumia kauli laini zenye kuchoma usije kuteleza kidogo wakatafuta sababu ya kukuweka kizuizini...
Nilitegemea leo angefanya ibada maalumu ya shukurani, naona anapuyanga tuSIKU YA JUMATATU SEPTEMBA 07, 2020
Asalaam alyekum Waheshimiwa Viongozi, Wagombea wa Ubunge, Uwakilishi, Udiwani, Wanachama, Wadau na Wapenzi wa Chadema na Upinzani kwa ujumla...
Nilitegemea leo angefanya ibada maalumu ya shukurani, naona anapuyanga tu
Atakuja tu,ngoma Bado mbichiDuuuh, kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani, huku Chato, Kahama, Bukene, Kaliua,Uvinza, Kigoma, Tukuyu, nk, halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura.
Hijui kuwa ibada ya shukrani imefanyika Jana Mbeya?Nilitegemea leo angefanya ibada maalumu ya shukurani, naona anapuyanga tu