Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,
Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake haramu dhidi ya wanaNgorongoro.
My take: Kuzuia binadamu asipate mahitaji yake ya muhimu kama chakula, maji, hifadhi (shelter), elimu na afya kwa sababu zozote zile ni hatua mbaya na ya mwisho kwa serikali, Netanyahu alijaribu kwa Wapalestina sijui aliishia wapi.