Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hatari sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi inaongozwa kifamilia zaidi.Kumbe huyu Mchengerwa ni Mkwe wa Rais! Mbona mna siri sana Jamani! Mi ndio najua leo, Daaah!!!
Hata na wao wakiongoza Chama kifamilia zaidi lazima tuwaseme.Hivi kunaulazima gani wa kuwafutia Wamasai vijiji vyao??Wakati mwingine Nia njema inapotea kwa sababu ya chuki zilizotujaa vifuani mwetu. Kumrefer kiongozi wa serikali 'mkwe wake' ni zaidi ya chuki. Mahusiano yao yanahusika vipi na utendaji wa serikali. Mbona viongozi, karibu wote, wa cdm Wana mahusiano ya kidamu kabisa na anapowataja hatumii uhusiano wao kuwaita?!!!
Asiye na mtu ana Mungu.....
Hoja nzuri izingatiwe ili ku accumulate Watalii kwa wingi maana Zanzibar inafaa kwa sehemu ya utalii.Tujadili
Tangia msemo huu uanzwe kusemwa sijawahi kuona hilo Jua (light at the end of tunnel)....Kumekucha!
Haiwezekani mbona Dunia nzima inajua,kaoa binti yakeKumbe huyu Mchengerwa ni Mkwe wa Rais! Mbona mna siri sana Jamani! Mi ndio najua leo, Daaah!!!
Kwenda zako wewe Chura KiziwiMwongo...
Unafaidika na nini na upotoshaji huu ?!!
Hii ni hatari
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
We jamaaa 😳😳😳Mkaza mwana!
Yule Simba wa Tangabyika amevuma tena.Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,
Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake haramu dhidi ya wanaNgorongoro.
My take: Kuzuia binadamu asipate mahitaji yake ya muhimu kama chakula, maji, hifadhi (shelter), elimu na afya kwa sababu zozote zile ni hatua mbaya na ya mwisho kwa serikali, Netanyahu alijaribu kwa Wapalestina sijui aliishia wapi.