Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria

Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria

Sawa if that is a case wilaya nzima imefutwa kupisha uchimbaji
kijiji kilifutwa kupisha uchimbani na yeye alikaa kimya, tena akiwa mbunge, mwambie abishe tutoe data na mihutasari ya vikao
 
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,

Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake haramu dhidi ya wanaNgorongoro.

My take: Kuzuia binadamu asipate mahitaji yake ya muhimu kama chakula, maji, hifadhi (shelter), elimu na afya kwa sababu zozote zile ni hatua mbaya na ya mwisho kwa serikali, Netanyahu alijaribu kwa Wapalestina sijui aliishia wapi.

Hivi wale Watanzania waliohamishwa kutoka Bonde la Ihefu waliishia wapi?
 
Kumbe ni Mkwe wake wake na Mtoto naye anashambulia kwa upande mwingine. Kumbe kazi ipo maana familia imekamilika kwenye nafasi upande wa Tanganyika.
 
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,

Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake haramu dhidi ya wanaNgorongoro.

My take: Kuzuia binadamu asipate mahitaji yake ya muhimu kama chakula, maji, hifadhi (shelter), elimu na afya kwa sababu zozote zile ni hatua mbaya na ya mwisho kwa serikali, Netanyahu alijaribu kwa Wapalestina sijui aliishia wapi.

Magufuli alikuwa dikteta lakini Samia amemzidi mara 100. Ni lini tutapata rais anayejali na kutetea mslahi ya umma?
 
Tatizo lenu ni wajuvi wa maongezi ya mtandaoni...hii ilishafeli!

Zile harakati za kukupigania chama, siku moja ziwe za kuipigania nchi, pengine muitikio utakuwa mkubwa na hakuna wa kuwaweka kwenye defender, si raia watakuwa wameitika na wana nguvu!
Lengo la Mfumo wa Vyama Vingi nchini siyo kupigania vyama au kuvilinda vyama bali ni kulinda mustakabali wa maisha ya Raia wote kwa usawa bila upendeleo wowote.
 
Back
Top Bottom