Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ndugu mbona umeonesha chuki kubwa kwa hawa watu? Tumwogope Mungu hata kidogo. Hawa ni binadamu kama wengine hata kama hawana hizi Dini zetu. Ni Binadamu wanaostahili kuishi sababu ni Mungu kawapa maisha. Tusiwe na chuki kiasi hicho. Na kesho tutaenda Msikitini na Kanisani. Kwa hali hii tunamuabudu Mungu au Shetani? Why all these?SASA HAPO WAMEZUIA WAPI??UNA UCHUNGU NA WAMASAI BILA SHAKA UMEOLEWA HUKO WEWE
