Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,
Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake haramu dhidi ya wanaNgorongoro. Lissu
Kumekucha!Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,
Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake haramu dhidi ya wanaNgorongoro. Lissu
Kumbe huyu Mchengerwa ni Mkwe wa Rais! Mbona mna siri sana Jamani! Mi ndio najua leo, Daaah!!!
Mkaza mwana!Kumbe huyu Mchengerwa ni Mkwe wa Rais! Mbona mna siri sana Jamani! Mi ndio najua leo, Daaah!!!
AminaMungu mbariki Tundu Antipas Lissu, mpenda haki na katiba.
Tujadili
Huu moto Mama na watu wake wanaouwasha, sijui kama wataweza kuuzima.Tujadili