Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

Hahahaa Tundu Lissu is on some shyt for real!

Anywho, ana hoja za msingi sana kama ukimsikiliza kwa utulivu na kwa kutumia akili na si hisia.

Intellect over emotions.

Companero 😉😁

unprecedented intelligent, convincing, charistmatic politician. unaweza kuona anavyotengeneza hoj. Siyo ile hotuba ya Mbowe ya kujisahahu kuwa yeye ni opposition.
Tunayo haba ya watu kama Lisu.

don‘t be mistaken, a good politician doesn’t mean he can be an implementer,
JPM alikuwa mfanyakazi lakini alikuwa hana Lisuism. Mama angejua angejaza hilo shimo, we don’t want cheap talk, it is about lives
 
Anywho, ana hoja za msingi sana kama ukimsikiliza kwa utulivu na kwa kutumia akili na si hisia.

Intellect over emotions.
Nimefuata ushauri wako nimeweka pembeni hisia.

Kwa maelezo yake ya mwisho kwenye clip hii, Lissu si muumini tena wa utawala wa sheria. Anahimiza watu wadai haki zao mitaani kwa nguvu. Kwa kuonyesha msisitizo wa hoja yake hiyo ya hatari ametumia mfano wa mwanaharakati Martin Luther Jr wa Marekani aliyewaandikia wenzake barua akiwa gerezani kuwa watafute haki yao wenyewe wasisubiri busara za Mahakama ya nchi hiyo.

Kwa maelezo hayo, ni kweli Lissu hajawa stable kisiasa hivyo bado nadhani itakuwa hujuma kwa nchi kumuamini "mtanzania" mwenzetu huyu!
 
Ni kipi hakijawahi kudaiwa kisheria kwa alichokisema, je vimepatikana?
 
Lissu in a way ni nembo ya Chadema, ukizingatia aliwakilisha chama hicho Kwenye uchaguzi uliopita. Na alipata kuungwa mkono na baadhi ya wapiga kura, bahati haikuwa yake kwani kura zilipelea.

Pia ni mwanasheria kwa 'usomi' wake. Binafsi naamini mwanasheria mzuri na msomi hupima kauli zake hasa anapokuwa kwenye maeneo anapotarajiwa kauli zake kutumika kama kumbukumbu rejea kwa umma.

Kwa kuzingatia hoja mbili hapo juu. Binafsi nadhani hajajitendea haki yeye kama mwanasheria na muhimiza matumizi ya utawala wa sheria na hajawatendea haki Chadema kwa kuhimiza matumizi ya nguvu bila kutumia taratibu tulizojiwekea za kisheria katika clip iliyowekwa na mleta mada.

Hii ndiyo imenifanya nihitimishe kwa kusema, Lissu bado hajawa stable Kisiasa hivyo itakuwa ni hujuma kwa nchi ya Tanzania kumuamini "mtanzania" mwenzetu.

Kwa hiyo, Mkuu, pima upya uungaji mkono wako kwa "mtanzania" mwenzetu huyu.
 
Unazungumzia sheria lakini unajitenga na uhalisia. Kwenye nchi zenye vyama vilivyokaa madarakani muda mrefu, au viongozi waliokaa muda mrefu tena kwa shuruti, utakuwa hujitambui kama utategemea sheria kukotoa kwenye ukandamizwaji huo. Mara nyingi machafuko na mapambano ya mitaani ndio huleta mabadiliko ya kweli. Hiyo porojo unayoita ukomavu wa kisiasa, ni kama dawa ya usingizi ili uendelee kutawaliwa kwa shuruti.
 
Back
Top Bottom