Unaweza usimwmini wewe na familia yako, lakini ipo siku ukoo wako utakuja faidika na matunda ya kauli zake.Lissu in a way ni nembo ya Chadema, ukizingatia aliwakilisha chama hicho Kwenye uchaguzi uliopita. Na alipata kuungwa mkono na baadhi ya wapiga kura, bahati haikuwa yake kwani kura zilipelea.
Pia ni mwanasheria kwa 'usomi' wake. Binafsi naamini mwanasheria mzuri na msomi hupima kauli zake hasa anapokuwa kwenye maeneo anapotarajiwa kauli zake kutumika kama kumbukumbu rejea kwa umma.
Kwa kuzingatia hoja mbili hapo juu. Binafsi nadhani hajajitendea haki yeye kama mwanasheria na muhimiza matumizi ya utawala wa sheria na hajawatendea haki Chadema kwa kuhimiza matumizi ya nguvu bila kutumia taratibu tulizojiwekea za kisheria katika clip iliyowekwa na mleta mada.
Hii ndiyo imenifanya nihitimishe kwa kusema, Lissu bado hajawa stable Kisiasa hivyo itakuwa ni hujuma kwa nchi ya Tanzania kumuamini "mtanzania" mwenzetu.
Kwa hiyo, Mkuu, pima upya uungaji mkono wako kwa "mtanzania" mwenzetu huyu.
Ngoja tumpe muda. Ni mapema Sana kulaumu.Huyu mama maneno matamu vitendo ni zero
Aisee! Mkuu, unaniogofya nikiamini maelezo yako haya.Unazungumzia sheria lakini unajitenga na uhalisia. Kwenye nchi zenye vyama vilivyokaa madarakani muda mrefu, au viongozi waliokaa muda mrefu tena kwa shuruti, utakuwa hujitambui kama utategemea sheria kukotoa kwenye ukandamizwaji huo. Mara nyingi machafuko na mapambano ya mitaani ndio huleta mabadiliko ya kweli. Hiyo porojo unayoita ukomavu wa kisiasa, ni kama dawa ya usingizi ili uendelee kutawaliwa kwa shuruti.
Wewe Ni ccm magufuli maana sio kwa kashfa hizi. Kuna kitu sio bureHuyu malkia uchwara na ushungi wake kaingia ofisini kwa mbwembwe kumbe sifuri tupu!
Anawalaghai watanzania kwa maneno matupu bila utekelezaji!
Mara ooh ati kodi ni za dhulma!
Kama anajua kuwa kodi ni za dhulma mbona hatuoni michakato ya kufuta sheria mbaya za kodi?
Huyu bibi kizee hakuna kitu! Ni tapeli mzoefu.
Tanzania haiko sayari ya mars au mwezini, hapa duniani tulipo pamejaa ushahidi, tena umejaa hata hapa nyumbani kwamba namna rahisi sana ya kuchukua uongozi wa nchi ni kwa kutumia nguvu sio the fucken democracy.Lissu in a way ni nembo ya Chadema, ukizingatia aliwakilisha chama hicho Kwenye uchaguzi uliopita. Na alipata kuungwa mkono na baadhi ya wapiga kura, bahati haikuwa yake kwani kura zilipelea.
Pia ni mwanasheria kwa 'usomi' wake. Binafsi naamini mwanasheria mzuri na msomi hupima kauli zake hasa anapokuwa kwenye maeneo anapotarajiwa kauli zake kutumika kama kumbukumbu rejea kwa umma.
Kwa kuzingatia hoja mbili hapo juu. Binafsi nadhani hajajitendea haki yeye kama mwanasheria na muhimiza matumizi ya utawala wa sheria na hajawatendea haki Chadema kwa kuhimiza matumizi ya nguvu bila kutumia taratibu tulizojiwekea za kisheria katika clip iliyowekwa na mleta mada.
Hii ndiyo imenifanya nihitimishe kwa kusema, Lissu bado hajawa stable Kisiasa hivyo itakuwa ni hujuma kwa nchi ya Tanzania kumuamini "mtanzania" mwenzetu.
Kwa hiyo, Mkuu, pima upya uungaji mkono wako kwa "mtanzania" mwenzetu huyu.
Kwani si anawakomesha mataga au?Huyu mama maneno matamu vitendo ni zero
Hivi Lisu kwani hafurahii mama kuwakomesha mataga?Hivi Amsterdam kaishia wapi?
Tulia wewe mama a awakomesha matagaView attachment 1778797
Ukweli mchungu, Lissu yuko sahihi.
Wait…tukitumia logic ya hao watu hata Tundu Lissu ni MATAGA 🤣🤣Hivi Lisu kwani hafurahii mama kuwakomesha mataga?
Cc BAKView attachment 1778797
Ukweli mchungu, Lissu yuko sahihi.
Kabisa naona anawakomesha kwa kugawa mijumba na mibenziHawa mataga wanakesho mitandaoni kupotosha matusi dhidi ya mama yetu mpendwa
Aisee! Mkuu, unaniogofya nikiamini maelezo yako haya.
Kwa sababu, tafsiri ya haraka kwa maelezo haya ni kuwa yawezekana Chadema wapo mbioni kuanzisha " vita vya wanamgambo" mtaani kudai wanachokiita haki yao. Yaani, sasa hawako tayari kushiriki tena katika shughuli za kisiasa nchini kwa kufuata sheria tulizokubali kuzifuatA kama nchi.
God forbid this!
Kwa hiyo huu ndiyo ujumbe mliomuandalia mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan mtakapokutana naye kama mlivyomuomba!?Wanaweza kubaki kwenye hizo sheria kandamizi ili kukuridhisha ww na wote wanaobaka haki zao, ila kama wanataka kupata haki zao, kuingia mtaani hakukwepeki. Hizo sheria alikubaliana na nani kuzifuata? Tunaomba chaguzi zetu zinavyogubikwa na wizi wa wazi, na sheria nyingi zinakiukwa, na mahakama ni sehemu ya kupoteza haki za wapinzani.
Haki ya wastaaafu mkuu,amekuta ipo kwa wastaaf ulitaka asiwape ?Kabisa naona anawakomesha kwa kugawa mijumba na mibenzi
Kwa hiyo huu ndiyo ujumbe mliomuandalia mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan mtakapokutana naye kama mlivyomuomba!?
===
Usiku mwema, Mkuu, kama upo Tanzania. Mchana mwema kama upo Marekani!
kwa hii comment ingekuwa utawala wa marehemu ushaneemekaLissu hajielewi anajilazimisha kumkosoa Mama Samia ili aendelee kukaa ubelgiji
Risasi kibao na hakufa ila kale ka kayafa maralia tu chaliMbeligiji...?? Simpendi