Unauwezo mdogo Sana wa kufikiri, aliyekwambia huyo uliyemtaja ndiye mbeligiji ni Nani??Umpeñde, usimpende, Lissu tayari ameingia kwenye historia. Sisahaugi alichokifanya tarime miaka ya nyuma. Bila ajenda za kisiasa, bila malipo, aliwatoa magerezani zaidi ya watu 400 waliobambikizwa kesi mpaka za mauaji, kisa wanapinga vitendo vya unyanyasaji wa kampuni ya uchimbaji dhahabu. Haya madhambi yalifanyika kwa msaada wa viongozi wa serikali ya ccm, enzi za Mkapa, Magufuli akiwa waziri.
Katika siasa zake, ni mtu anayejitoa tena kwa hamasa kubwa, bila kuangalia mafao binafsi.
Wakati wa uchaguzi uliovurugwa mwaka 2020, alipata sapoti ya Malaki kwa Malaki ya watanzania
Mabeberu ni nani hao? Wanaishi nchi gani?Hafai, Lisu hafai! Amwache mama yetu atuongoze kwa amani!! Yeye anakula vya kunyonga alivyovilipia kwa gharama ya kuuza uhuru wake kwa mabeberu!!
Hata ikitokea viongozi wetu wakakosea, Lisu hana moral authority ya kuwakosoa!! Kama Lisu ana ubavu awakosoe mabeberu tuone!
Leo anasema hakuna hela tufunge mikanda kesho anagawa mibenzi. Malikia apunguze spidi hii sio 1987.Imani niliyokuwa nayo kwa huyo Malikia imeshatoweka. Hana jipya zaidi ya kudemka demka. Bila kumuendesha puta huyu siioni Katiba mpya wala Tume huru ya uchaguzi.
Kenda na mwendazakeHivi Amsterdam kaishia wapi?
Sawa mimi nina uwezo mdogo wa kufikiri. Hapa tunamuongelea Lissu aliyeko Ubelgiji. Kwa hiyo mbelgiji usiyempenda ni nani?Unauwezo mdogo Sana wa kufikiri, aliyekwambia huyo uliyemtaja ndiye mbeligiji ni Nani??
😂😂😂 wenaona unataka kutukanwa.Hivi Amsterdam kaishia wapi?
Ha ha ha.......labda ndio ile kazi iliyoishia pale "chuttle"? Mwamba umeanguka(angushwa?).Hivi Amsterdam kaishia wapi?
AmsterdamSawa mimi nina uwezo mdogo wa kufikiri. Hapa tunamuongelea Lissu aliyeko Ubelgiji. Kwa hiyo mbelgiji usiyempenda ni nani?
Magufuli chali Amsterdam wanini Nyani?Hivi Amsterdam kaishia wapi?
Sasa mzalamo mcheza ngoma na mdako utakuwa na akili kubwa ya kuelewaNi kweli si rahisi kumwelewa kichaa!
Pambana na hali yakoEleza ni vipi na kwanini kwani yeye kichanga au chizi ambao kuwaelewa lazima uwe mtaalamu mzamizi kwenye fani husika? Watu walimwelewa Nyerere washindwe kumuelewa Lissu kama ni mzima kiakili?
Mkuu Ujamuelewa au Umemuelewa Lisu au pia utakuwa unafanya kusudi kupotosha japo unaonekana Kama unaimiza sheria ifuatwe. Alichomaanisha Lisu Ni kuwa mahakama na mwakili pekee hawawezi kufanya haki ikapatikana bila watu wenyewe kuwa na nia ya kutaka haki itendeke. Nikupe mfano mdogo tu.mtu anaweza kufungwa kwa kuonewa tu. Utosikia mahakama Wala wakili kupinga huo uonezi kwa kukata rufaa na mtu anaendelea kusota gerezani.sasa hawa walio nje pamoja na mfungwa mwenyewe ndiyo wapinge kuonewa kwa mtu na kuhamasisha kukatwa kwa rufaa ili yule aliyefungwa apate haki yake.Ndicho Alishomaanisha Lisu ni wananchi kuwa na ile kiu ya kukaa kuonea na kutaka kutendeka kwa haki ili kusukuma wanaosimamia haki kuona umuhimu wa kutenda Haki. Maana hata hakuna wakili atakuruluka kukutetea wakati wewe mwenyewe hauna kiu ya kupinga uonezi uliofanyiwa na hiyo mahakama iliyokufunga kwa uoneziLissu in a way ni nembo ya Chadema, ukizingatia aliwakilisha chama hicho Kwenye uchaguzi uliopita. Na alipata kuungwa mkono na baadhi ya wapiga kura, bahati haikuwa yake kwani kura zilipelea.
Pia ni mwanasheria kwa 'usomi' wake. Binafsi naamini mwanasheria mzuri na msomi hupima kauli zake hasa anapokuwa kwenye maeneo anapotarajiwa kauli zake kutumika kama kumbukumbu rejea kwa umma.
Kwa kuzingatia hoja mbili hapo juu. Binafsi nadhani hajajitendea haki yeye kama mwanasheria na muhimiza matumizi ya utawala wa sheria na hajawatendea haki Chadema kwa kuhimiza matumizi ya nguvu bila kutumia taratibu tulizojiwekea za kisheria katika clip iliyowekwa na mleta mada.
Hii ndiyo imenifanya nihitimishe kwa kusema, Lissu bado hajawa stable Kisiasa hivyo itakuwa ni hujuma kwa nchi ya Tanzania kumuamini "mtanzania" mwenzetu.
Kwa hiyo, Mkuu, pima upya uungaji mkono wako kwa "mtanzania" mwenzetu huyu.
Sio vyama vya siasa na asasi za kiraia pekee, hata sisi raia wa kawaida tuna wajibu. Kwa kutumia mitandao na kila aina ya fursa ya kuwasilisha maoni na taarifa ndipo kelele itakuwa kubwa zaidiMheshimiwa Lissu ana hoja za msingi sana,nafikiri vyama vya siasa na asasi za kiraia zina wajibu mkubwa kupigania mapungufu yote katika katiba yetu.
Leo anasema hakuna hela tufunge mikanda kesho anagawa mibenzi. Malikia apunguze spidi hii sio 1987.
Huwa natabasam kila nikisikia hizi kauli za confirmation bias:Kumwelewa Lissu inahitaji uwe na akili kubwa sn
Sawa mkuuHuwa natabasam kila nikisikia hizi kauli za confirmation bias:
Kumwelewa ..........(jaza mtu)....... inahitaji akili kubwa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora mara mia.....unajua kauli chachuu wewe zinavyoleta presha na mshtuko?