Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

Lisu vipi mbona unayumba mzee, mara leo hivi kesho vile......
vipi tena!
ulikurupuka nini?!!
 
Nimemaliza kuweka sawa bandiko lako ili nikuelewe vizuri.
===
Kwa kifupi tu, swali. Je. Nitakuwa sahihi nikiandika kuwa kwa sasa "mtanzania" mwenzetu Lissu hana uwezo wa kutoa maeleze ya wazi kama ulivyofafanua kwenye bandiko lako?
 
Amsterdam
Sawa mkuu. Naomba kuuliza swali dogo la nyongeza. Huyo Amsterdam Ni mwanasheria wa Tundu Lissu. Anafuata maelekezo ya mteja wake. Sababu humpendi ni ipi?
 
Lissu ni mkweli Sana, anatuonya watanzania kushangilia Sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…