Tundu Lissu sasa aekuwa Mwanasiasa maarufu zaidi Barani Afrika

Tundu Lissu sasa aekuwa Mwanasiasa maarufu zaidi Barani Afrika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Sijawahi kudhani baada ya Nyerere kutakuja kutokea Mtanganyika mwingine Ambaye atakuja kuwa Maarufu kwa kiwango hicho

Kumbe nilikuwa nimepofushwa, Leo ni Lissu

Taarifa zingine zinaeleza kwamba hakuna Mwanasiasa yoyote wa eneo la Maziwa Makuu anayemfuatia kwa karibu , hata wale wanamfuatia Kutoka Kaskazini n.a. magharibi amewaacha mbali mno!

Cha kushangaza Kesi yake ya uongo aliyobambikwa na serikali ya Tanzania iliyokosa Mashahidi Baada ya waliookotezwa kudhalilika kwenye kizimba cha mbao, inafuatilia na kila mtu Duniani (jambo ambalo ni rekodi).

Soma pia Katuga na Mawakili wenzake wa Serikali waombe darasa la kufundishwa Sheria na Bingwa wa Sheria na mpigania haki wa pekee Tundu Lissu
 
Sijawahi kudhani baada ya Nyerere kutakuja kutokea Mtanganyika mwingine Ambaye atakuwa kuwa Maarufu kwa kiwango hicho

Kumbe nilikuwa nimepofushwa, Leo ni Lissu
nonsense,
kutwa kujidanganya na vitu nonsense kuhusu kibaraka lofa na muhaini :1Head:
 
Tuombe ahukumiwe Kunyongwa mpaka Kufa ili awe maarufu zaidi Lissu Lazima avae Kitanzi
​
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kesi yake bado inaendelea, tusubiri kama mahakama itamtia hatiani kama muhaini.
nadhani hakuna haja ya kuchelewa kumaliza jambo jepesi kama hilo,
ni muhimu akahukumiwa na kunyongwa haraka na mapema iwezekanavyo kwa mujibu wa sheria,

hakuna haja ya kusubiri kitu kwenye hilo :1Head:
 
Unateseka sana.
Yes,
ni kweli gentleman,
nateseka mno napoona malofa wanadanganyanya na kujipa moyo nonsense kwa mambo useless kabisa kuhusu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi :1Head:
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mbona unawashwa na matako ...?? Tulia ...muhaini ni huyo ma laya aliyejifungia Zenji
tuliza mihemko nonsense bas gentleman,
umebebwa ufala wa kifikra na kitu nonsense kama hicho, kweli dunia inaenda kwa kasi sana, dah :1Head:
 
Back
Top Bottom