Tundu Lissu sasa aekuwa Mwanasiasa maarufu zaidi Barani Afrika

Hesabu likes zako na za erheyocite ndio utajua nani mjinga
ukweli ninao ueleza humu jukwaani hauhitaji likes au dislikes, but unafaa kusaidia wadau wa JF kuongeza uelewa na ufahamu juu ya yaele muhimu ninayoyaibua humu jukwaani, ili hatimae usiwe mamaluki lofa tena kama ulivyo sasa,

hiyo ndio muhimu zaid gentleman
 
Huyo muhuni aliyejikunyata huko Zenji ana hali mbaya sana.....Chawa jipangeni mpaka June Hatoboi
huna haja ya kuweweseka na porojo nonsense kama hiyo gentleman,

naishauri mahakama kutoa haki ya kunyongwa mapema kwa watuhumiwa uhaini wote nchini. Sio vizuri kuchelewesha haki hiyo muhimu kwa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi
 
tuliza mihemko nonsense bas gentleman,
umebebwa ufala wa kifikra na kitu nonsense kama hicho, kweli dunia inaenda kwa kasi sana, dah
Tokea ujue hilo neno nonsens na gentleman, you don care hata kama mtu ni jinsia ya kike, wewe unasema gentleman tuu. Umekariri ile Mbaya...
 
MamaSamia2025 usimuachie Tundu Lissu hadi pale atakapo expose uovu wako wote kwenye jumuiya ya kimataifa. Ni ushauri tu wa Mjaluo Mweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…