Tundu Lissu, sauti ya ukombozi wa kweli wa Nchi hii

Tundu Lissu, sauti ya ukombozi wa kweli wa Nchi hii

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
667
Reaction score
1,403
Mimi naamini kuwa Tundu Lissu amebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Kutokana na imani hiyo, naamini pia kwamba ikiwa tutamwacha Tundu Lissu aendelee kupambana yeye mwenyewe kana kwamba anatafuta ukombozi wa familia yake tu, siku zinakuja Mungu atatupeleka utumwani.

Utumwa huo utaambatana na mateso makali kabisa kwa kuwa tulimpuuza aliyebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Naomba tuungane na Tundu Lissu kupigania UKOMBOZI kamili wa Nchi hii.

Ukishindwa au ukiogopa kufanya jambo lolote kuunga mkono mapambano ya ukombozi wa Nchi hii, basi jiwekee utamaduni wa KUSALI kila siku kumwomba Mungu mkuu alete jeshi la malaika wake kutoka Mbinguni ili kuja katika Nchi hii na kuleta mapigo 10 kwa MAFIRAUNI yote kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkubwa kabisa yeye pamoja na uzao wake wote kama alivyofanya katika kuwakomboa wana wa Israel kutona mikononi mwa FARAO.
 
Mimi naamini kuwa Tundu Lissu amebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Kutokana na imani hiyo, naamini pia kwamba ikiwa tutamwacha Tundu Lissu aendelee kupambana yeye mwenyewe kana kwamba anatafuta ukombozi wa familia yake tu, siku zinakuja Mungu atatupeleka utumwani. Utumwa huo utaambatana na mateso makali kabisa kwa kuwa tulimpuuza aliyebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Naomba tuungane na Tundu Lissu kupigania UKOMBOZI kamili wa Nchi hii. Ukishindwa au ukiogopa kufanya jambo lolote kuunga mkono mapambano ya ukombozi wa Nchi hii, basi jiwekee utamaduni wa KUSALI kila siku kumwomba Mungu mkuu alete jeshi la malaika wake kutoka Mbinguni ili kuja katika Nchi hii na kuleta mapigo 10 kwa MAFIRAUNI yote kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkubwa kabisa yeye pamoja na uzao wake wote kama alivyofanya katika kuwakomboa wana wa Israel kutona mikononi mwa FARAO.
Kila mtu atamueleww huyu mwamba kadiri ya siku zinavyozidi kwenda
 
Kila mtu atamueleww huyu mwamba kadiri ya siku zinavyozidi kwenda
Lissu sio mtu wa kawaida mzee na Mungu atatuonyesha yeye yupo akiamua jambo lake litakua hata kama mwanadamu hutaki huyo Ndo Mungu
 
Mimi naamini kuwa Tundu Lissu amebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Kutokana na imani hiyo, naamini pia kwamba ikiwa tutamwacha Tundu Lissu aendelee kupambana yeye mwenyewe kana kwamba anatafuta ukombozi wa familia yake tu, siku zinakuja Mungu atatupeleka utumwani. Utumwa huo utaambatana na mateso makali kabisa kwa kuwa tulimpuuza aliyebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Naomba tuungane na Tundu Lissu kupigania UKOMBOZI kamili wa Nchi hii. Ukishindwa au ukiogopa kufanya jambo lolote kuunga mkono mapambano ya ukombozi wa Nchi hii, basi jiwekee utamaduni wa KUSALI kila siku kumwomba Mungu mkuu alete jeshi la malaika wake kutoka Mbinguni ili kuja katika Nchi hii na kuleta mapigo 10 kwa MAFIRAUNI yote kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkubwa kabisa yeye pamoja na uzao wake wote kama alivyofanya katika kuwakomboa wana wa Israel kutona mikononi mwa FARAO.
Upo sahihi kabisa! Familia za wale waliochangia mabilioni kwa sasa zipo mbioni kukamilisha rasimu ya kuwapeleka WaTanganyika utumwani!
Bila WaTanganyika kuamka, kuweka tofauti zao pembeni na kuunganisha nguvu... Maponjolo yatafanikiwa azma yao!
 
Back
Top Bottom