Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
ahahhhaha. mwanasheria msomi ana mihemuko sana
 

This is purely crap as I dont see single connection, kwani yeye alitaka Makonda awe wapi??? Katika watanzania milioni 50 ni makonda peke yake alikuwa Dododoma??? I just want to establish the connection here?? Kama anamuongelea Makonda kama RC je ni RC peke yake aliyekuwa Dodoma siku hiyo???? what does he want to prove to us kwa yeye kushambuliwa na Makonda kuwa Dododoma? This is very cheap analysis wajinga tu ndio watashabikia.
 
Yes, unaona wajinga wenzake ndo wanashabikia upuuzi wa hali ya juu kama huu.
 

KUNA RECORDS ZA ASKARI WANAOKUWEPO KWENYE LINDO KILA SIKU HIVYO KUMBUKUMBU KUWA NANI WALIKUWEPO KWENYE LINDO MUDA ULE ZIPO. MBONA KAZI RAHISI SANA?
 
Dua la kuku. Fuata sheria na timiza wajibu wako, uzee wako utakuwa wa amani.
 
Mimi sihangaiki kuumiza kichwa kujua kina nani waliofanya shambulio lile kwa kuwa Magu na makonda wanadhani waliokaribu nao sio ndugu zetu wa kifamilia ambao walijua mapema mipango hii dharimu. Tukio hili litawagharimu hawa wawili hapo baadaye na ushahidi wa kuhusika kwao upo
 
Kwahiyo makonda na lisu wanaugomvi wa kisiri siri?, mbona mm naishi Moro ila siku hiyo nilikuwa dom...au namimi natakiwa nikahojiwe?

Naye arudi ahojiwe asirushe mpira, kwani kuna tatizo gani akirudi akahojiwa? na hao wengine wasipohojiwa ndpo apige kelele zake hizo?............ Wabongo tunapenda kurusha mipira kwa wengine tunasahau kujirushia kwanza. Huwa wanahojiwa vitu gani hadi wanakimbia kimbia hivi na hawataki kusogeza pua zao??
 
Huo ni ujinga na ujuha. Si lazima mwenye mamlaka kufanya kama shetani. Mbona Uhuru hakumfanyia Miguna au Raila kitu cha aina hiyo?
 
Wenye mke ndiyo waling’oa cctv camera? Wenye mali ndiyo waliwatoa walinzi Getini? Wenye mali ndiyo walipiga marufuku kuvaa T-shirt za Tundu Lisu? Acheni kuvuta Bangi hapo Gheto kwa cyprian Musiba


Mwenye nia mbaya na wewe ana mambo mengi mpaka akupate. Usishangae hizo cctv kung'olewa kabla ya shambulio la msaliti wa taifa. Kumbuka kuwa Lissu ana maisha mengine nyuma ya pazia.
 
Huo ni ujinga na ujuha. Si lazima mwenye mamlaka kufanya kama shetani. Mbona Uhuru hakumfanyia Miguna au Raila kitu cha aina hiyo?
Ujinga na ujuha kwako wewe mkuu. Heshimu mamlaka, ukileta tabia ya usaliti unaweza kushindwa kuvumiliwa, kila mtu kaumbwa kivyake, Uhuru ni Uhuru na wengine ni wengine.
 
Dua la kuku. Fuata sheria na timiza wajibu wako, uzee wako utakuwa wa amani.
sasa kama unajua si katoe ushahidi sehemu husika. unalialia nini sasa?
 
Bado mchanga sana katika kutaka kupata urais, abakie tu kui challenge serikali ila kwenda Ikulu asubilie sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kufikiria vzr ,acha kufikiria kidogo...umesahau msemo wa sisimizi kumuua tembo au?

Hata goiati alijiamini sana ktk mapigano na kilichomtokea nadhani ulikisoma au kukihadithiwa...


"Tafakari chukua hatua maana hata wewe kitambulisho cha ujasiriamali kinakuhusu ,ukiachilia mbali ushuru unaolipa kila siku"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…