JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,511
Hana akili hiyo huyo boya. Kangi lugora anamsubiri kwa hamu sana.Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana akili hiyo huyo boya. Kangi lugora anamsubiri kwa hamu sana.Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
ahahhhaha. mwanasheria msomi ana mihemuko sanaInasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Yaani upuuzi wa kitoto kabisa. Ngoja aje akayaongee mahakamaniKwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.
Yes, unaona wajinga wenzake ndo wanashabikia upuuzi wa hali ya juu kama huu.This is purely crap as I dont see single connection, kwani yeye alitaka Makonda awe wapi??? Katika watanzania milioni 50 ni makonda peke yake alikuwa Dododoma??? I just want to establish the connection here?? Kama anamuongelea Makonda kama RC je ni RC peke yake aliyekuwa Dodoma siku hiyo???? what does he want to prove to us kwa yeye kushambuliwa na Makonda kuwa Dododoma? This is very cheap analysis wajinga tu ndio watashabikia.
I suvive to tell the taleMbona facts ameziweka wazi tuu! Au wewe unayako mengine? Kama unapingana na aliyoyasema lisu basi toa vigezo vyako vitakavyopingana na maelezo ya.majeruhi mhusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati mwanadamu anajua kuwa nyeupe ni nyeupe ila ukimuuliza atasema ni nyeusi ,,,,,,,Yaani upuuzi wa kitoto kabisa. Ngoja aje akayaongee mahakamani
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Dua la kuku. Fuata sheria na timiza wajibu wako, uzee wako utakuwa wa amani.Na wewe uliye madarakani na kuona waweza kuwafanya wengine lolote wakati ukiwa na hayo madaraka tambua kuwa muda wako ukiisha waweza nawe kufanywa lolote.
Kinga iko pale unapotekeleza madaraka yako kikatiba tuu! Utaishi Kwa furaha kama Jk. BM au Jerry Rwallings. Vyinginevyo unaishia kumalizia maisha kwa mateso na fedheha tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni ujinga na ujuha. Si lazima mwenye mamlaka kufanya kama shetani. Mbona Uhuru hakumfanyia Miguna au Raila kitu cha aina hiyo?La muhimu ni kuheshimu mamlaka halali. Ukichemka na kudharau ukubwa wa mamlaka, tegemea maumivu mkuu.
Mamlaka zinazoongoza nchi siku zote hupambana ili ziweze kupata kibali cha wananchi. Mwanasiasa usipoujua ukweli huo na ukaishi kwa kiburi, tegemea lolote lile likupate maishani.
Huu ndio unafiki mkubwa walio nao wengi wa watu wa TanzaniaKuna wakati mwanadamu anajua kuwa nyeupe ni nyeupe ila ukimuuliza atasema ni nyeusi ,,,,,,,
Wenye mke ndiyo waling’oa cctv camera? Wenye mali ndiyo waliwatoa walinzi Getini? Wenye mali ndiyo walipiga marufuku kuvaa T-shirt za Tundu Lisu? Acheni kuvuta Bangi hapo Gheto kwa cyprian Musiba
Ujinga na ujuha kwako wewe mkuu. Heshimu mamlaka, ukileta tabia ya usaliti unaweza kushindwa kuvumiliwa, kila mtu kaumbwa kivyake, Uhuru ni Uhuru na wengine ni wengine.Huo ni ujinga na ujuha. Si lazima mwenye mamlaka kufanya kama shetani. Mbona Uhuru hakumfanyia Miguna au Raila kitu cha aina hiyo?
Dua la kuku. Fuata sheria na timiza wajibu wako, uzee wako utakuwa wa amani.
sasa kama unajua si katoe ushahidi sehemu husika. unalialia nini sasa?Mimi sihangaiki kuumiza kichwa kujua kina nani waliofanya shambulio lile kwa kuwa Magu na makonda wanadhani waliokaribu nao sio ndugu zetu wa kifamilia ambao walijua mapema mipango hii dharimu. Tukio hili litawagharimu hawa wawili hapo baadaye na ushahidi wa kuhusika kwao upo
Bado mchanga sana katika kutaka kupata urais, abakie tu kui challenge serikali ila kwenda Ikulu asubilie sana.Ndiye rais wetu wa 2020 hutaki kajinyonge
In God we Trust
Jaribu kufikiria vzr ,acha kufikiria kidogo...umesahau msemo wa sisimizi kumuua tembo au?Bado mchanga sana katika kutaka kupata urais, abakie tu kui challenge serikali ila kwenda Ikulu asubilie sana.
Sent using Jamii Forums mobile app