Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Kwan ila samahan huyo Lisu yeye unayemsemea kutaka kuwa rais unahis ataondoa izo kodi? Unaamin atafanya nn cha ziada kuwafurahisha Watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi unao? au chuki tu!
 
Kwan ila samahan huyo Lisu yeye unayemsemea kutaka kuwa rais unahis ataondoa izo kodi? Unaamin atafanya nn cha ziada kuwafurahisha Watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nnachojaribu kuzungumzia ni utawala bora na wala sio lisu hapa,sasahv ukatae ukubali hali ya uchumi imeporomoka na hakuna kinachoendelea zaid ya ukusanyaji kodi usio na mpangilio na kununua ndege na kujenga hizo flyover ambazo kwa mtanzania wa kawaida hazimsaidii chochote,

Sasahv wafanya biashara wengi wamepunguza mitaji yao sababu ya kodi na ww ni shahidi ktk hilo so unadhani uchumi unakua vep bila mfanyabiashara kukuza mtaji .

Swala la lisu liko wazi kabisa kuwa alipigwa risasi na askari walioagizwa na hakuna aliekamatwa wala kushukiwa mpk sasa,nadhani utakua umeelewa vyema hapo.

#Fikrapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazi kuwa mauaji ya Tundu Lissu yalipangwa ila Mungu alipenda aendelee kuishi kadri atakavyomjalia uhai. Sababu yoyote eti anatakiwa ahojiwe ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe. CCM wanafahamu fika mtu aliyeitisha mauaji ya Tundu Lissu. All ni all, ikiwa Tundu Lissu atauawa kwa namna yoyote ile iwe kwa sumu, risasi au kufungwa jela, dunia nzima inafahamu hila ambazo zinaandaliwa dhidi yake lakini hakuna mtu atakayeishi milele hapa duniani. Kumuua binadamu mwenzako kwa kisingizio cha uchochezi, haiubaliki hata kidogo.
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Gravitational force between bodies is not constant. It obeys the inverse square law. Ngwini spotted!
 
Makonda gani? huyu Bashite?? acheni bwana akache mkutano mkubwa wa kitaifa wa makinikia aende Dodoma??

aaahhh eti we Alibati bashite ulikiwa Dodoma kweli?? ulienda kufanya nini ??
 
Inaonekana mgonjwa bado hajapona vizuri maana kwa nchi hakuna aliekatazwa kuonekana Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gravitational force between bodies is not constant. It obeys the inverse square law. Ngwini spotted!
Freefall without any resistance is always constant, 9.8 m/s whether the body weighs 100 tones or 2 kilos.
 
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?


Chukulia ww au ndugu yako yange kuwa yamemkuta je, unge elewa? Hii kitu hata kipofu akisikia au kiziwi au mtoto hata wa latano atajua tu kuna kitu! Hao askari kwanini waliondoka lindoni ilo ndo swali na ni kwa amri ya nani na nani kwa wakati ule alikuwa ni waziri wa ulinzi?
 
Mbona facts ameziweka wazi tuu! Au wewe unayako mengine? Kama unapingana na aliyoyasema lisu basi toa vigezo vyako vitakavyopingana na maelezo ya.majeruhi mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inashangaza sana mtu anapo kosa hutu na kubisha kitu ambacho kipo wazi, watu kama hawa ni watu wanafki sana ndo huwa wanaombea vifo adui zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…