chenga tupuSifa moja wapo ya rais ni awe na akili timamu. Pia anayeweza kukunja nne kwa kutumia mguu eidha wa kulia au wa kushoto.
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chenga tupuSifa moja wapo ya rais ni awe na akili timamu. Pia anayeweza kukunja nne kwa kutumia mguu eidha wa kulia au wa kushoto.
Kwan ila samahan huyo Lisu yeye unayemsemea kutaka kuwa rais unahis ataondoa izo kodi? Unaamin atafanya nn cha ziada kuwafurahisha Watanzania?Jaribu kufikiria vzr ,acha kufikiria kidogo...umesahau msemo wa sisimizi kumuua tembo au?
Hata goiati alijiamini sana ktk mapigano na kilichomtokea nadhani ulikisoma au kukihadithiwa...
"Tafakari chukua hatua maana hata wewe kitambulisho cha ujasiriamali kinakuhusu ,ukiachilia mbali ushuru unaolipa kila siku"
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani uyo aliyepo amefanya nini nq wewe unataka ufanyiwe nini.... binafsi yangu naitaji utawala bora uliotukuka ili mateso wayapatayo wananchi ibaki storiKwan ila samahan huyo Lisu yeye unayemsemea kutaka kuwa rais unahis ataondoa izo kodi? Unaamin atafanya nn cha ziada kuwafurahisha Watanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi unao? au chuki tu!Huo utetezi wako kwa makonda Maliyamungu Bashite ni utetezi wa kipumbavu sana usariti na Bashite kumpiga Risasi vina uhusiano gani? Hata mkatae vipi hata mmtetee Bashite vipi hawezi kuchomoka kwenye ushiriki wa shambulio kwa Tundu Lisu endeleeni kuomba mungu huyo magufuli awe Rais wa milele amlinde Bashite mpaka kufa lakini ikitokea kesho magufuli hayupo ikulu huyo Bashite ajipange ingawa tunajua atakimbia nchini na kwenda kujificha mbali
Nnachojaribu kuzungumzia ni utawala bora na wala sio lisu hapa,sasahv ukatae ukubali hali ya uchumi imeporomoka na hakuna kinachoendelea zaid ya ukusanyaji kodi usio na mpangilio na kununua ndege na kujenga hizo flyover ambazo kwa mtanzania wa kawaida hazimsaidii chochote,Kwan ila samahan huyo Lisu yeye unayemsemea kutaka kuwa rais unahis ataondoa izo kodi? Unaamin atafanya nn cha ziada kuwafurahisha Watanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimya au kutokucomment nalo linapendeza. Hebu fikiria kama Lissu ni ndugu yakonau wewe mwenyewe umefanyiwa hivyo. Hutopiga mayowe??? Think before you commentHuyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Sio ndugu yangu huyo jamaa, labda ni ndugu yako.Ukimya au kutokucomment nalo linapendeza. Hebu fikiria kama Lissu ni ndugu yakonau wewe mwenyewe umefanyiwa hivyo. Hutopiga mayowe??? Think before you comment
Sent using Jamii Forums mobile app
Aupiganie urais wa TLS ili aweze kubakia kuwa relevant miongoni mwa watanzania.Bado mchanga sana katika kutaka kupata urais, abakie tu kui challenge serikali ila kwenda Ikulu asubilie sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Gravitational force between bodies is not constant. It obeys the inverse square law. Ngwini spotted!Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Freefall without any resistance is always constant, 9.8 m/s whether the body weighs 100 tones or 2 kilos.Gravitational force between bodies is not constant. It obeys the inverse square law. Ngwini spotted!
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Inashangaza sana mtu anapo kosa hutu na kubisha kitu ambacho kipo wazi, watu kama hawa ni watu wanafki sana ndo huwa wanaombea vifo adui zao.Mbona facts ameziweka wazi tuu! Au wewe unayako mengine? Kama unapingana na aliyoyasema lisu basi toa vigezo vyako vitakavyopingana na maelezo ya.majeruhi mhusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli tupu..watu wa ajabu sanaaaa..wana roho mbaya kama wakaanga sumu.Inashangaza sana mtu anapo kosa hutu na kubisha kitu ambacho kipo wazi, watu kama hawa ni watu wanafki sana ndo huwa wanaombea vifo adui zao.