Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

kwani le mutuz ni kitengo?
Le mutuz ni mpambe wa Bashite pia ni Dalali wa waganga wa kienyeji kwa viongozi wa CCM wote sanjari na kazi ya kutengeneza propaganda kuwatetea CCM mitandaoni
 
Alipo Bashite na Le mutuz yupo ukitaka siri za Bashite kaa na le mutuz mpeleleze kijanja atakupa kila kitu
 
Kwani hao walinzi na wao wako wapi mbona sijawasikia wakisema waliondolewa kulinda siku hiyo na nani aliwaondoa?
 

 
kwani le mutuz ni kitengo?
Le mutuz alishiriki sana kudivert information kuwalazimisha watu waamini TL akushambuliwa Kwa risasi akitoa mifano mbali mbali na aina mbali mbali za matukio yahusiano na mashambulio ya risasi, kwenye page yake 2017.
 
Ni ushahidi mwingine wa kuonyesha mhusika mkuu na wasaidizi wake walioshiriki kutaka kumuua Lissu.

Huyo mbona ni kada mwenzao amepost nyingi tu.
 
Makonda ni suspect kwenye mazingira ya kihisia tu hakuleti ulazima wa yeye kuwa interrogated.

Watu wa kuwahoji tena ikiwezekana wafanyiwe torturing ni wale walinzi waliokuwa na wajibu wa eneo lote ambalo tukio lilifanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…