minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Le mutuz ni mpambe wa Bashite pia ni Dalali wa waganga wa kienyeji kwa viongozi wa CCM wote sanjari na kazi ya kutengeneza propaganda kuwatetea CCM mitandaonikwani le mutuz ni kitengo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le mutuz ni mpambe wa Bashite pia ni Dalali wa waganga wa kienyeji kwa viongozi wa CCM wote sanjari na kazi ya kutengeneza propaganda kuwatetea CCM mitandaonikwani le mutuz ni kitengo?
Huyu ni kinyesi hutakiwi kuwa karbu nae watu wanaweza juwa unanuka wewe kaa naembaliWewe demu nenda kachukue buku 7 yako kwa comment za kipumbavu humu jf
Ungekuwa wewe ungefanya je?Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Uniulize siku nikiwa yeye.Ungekuwa wewe ungefanya je?
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Unajua mda Kama huu alikuwa na hali gani? KONDOMU WEWEHuyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Sasa unanitukana ili iweje?...KONDOMU WEWE
Makada wa CCM hawawezi kuelewa hiyo comment yako
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
kwani le mutuz ni kitengo?
Kwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.
Le mutuz alishiriki sana kudivert information kuwalazimisha watu waamini TL akushambuliwa Kwa risasi akitoa mifano mbali mbali na aina mbali mbali za matukio yahusiano na mashambulio ya risasi, kwenye page yake 2017.kwani le mutuz ni kitengo?
Huyo mbona ni kada mwenzao amepost nyingi tu.
Sasa cjui linabisha Nini hili fala....achana naloWe jifanye hamnazo👹
Nani amekutukana? Hujui kazi ya kondomu( mpira was kiume)? Unachoongea kina tofauti na kazi ya kondomu kwenye tendo la zinaa?Sasa unanitukana ili iweje?
Pumbavu zako.Nani amekutukana? Hujui kazi ya kondomu( mpira was kiume)? Unachoongea kina tofauti na kazi ya kondomu kwenye tendo la zinaa?