Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Hawezi sababu rais wetu kipenzi cha watanzania Mh Edward Lowasa hajamaliza kipindi chake cha urais wa Facebook JF Twitter na Instalgram hajamaliza mkuu
Akiwa na kamati ya ufundi
 
So what. Rubbish. Watu wanasonga na miradi mikubwa. Wewe unaongelea ya zamani,kwani hata wakihojiwa ndio utakuwa Kama zamani
 
Huyu mzee mnajua ameshachanganyikiwa zama zake zimeshakwisha na ubunge harudishiwi walahi kwanza wananchi wake wenyewe kwa sasa hawamtaki sasa sijui kwann anahangaika hivyo bora atulize hiyo mishono yake huku akifuatilia miradi yake na namna ya kuijenga familia yake kwa sasa siasa aachane nazo next time watampiga sindano ya REST IN PEACE
 

Hata Mugabe nae ame RIP. Imewaumiza sana yeye kushinda mauti
 
Kila jambo na wakati wake upepo ugeuka
Hawa watu waliofanya hayo matukio watu wakiliamsha itasaidia kupunguza hivyo vitendo,BASHITE akikamatwa na wachunguzi wa Scotland Yard wakija na kumoji vizuri na Kuminya KALIO na MBUPU lazima ataeleza ukweli.
 
Hawa watu waliofanya hayo matukio watu wakiliamsha itasaidia kupunguza hivyo vitendo,BASHITE akikamatwa na wachunguzi wa Scotland Yard wakija na kumoji vizuri na Kuminya KALIO na MBUPU lazima ataeleza ukweli.
Awamu zingine hata miaka 40 ijayo yungali Kijana iko siku itaingia awamu ya wengine waliowaumiza nao watawalipia visasi uzuri wako nyumba za vioo.
 
Wale walinzi wa getini popote walipo ile laana haitowaacha Salama, Kwa kuwafungulia geti magaidi na kwenda kumdhuru MTU asiye na hatia.
 
Simu zote uhifadhiwa wakifatilia call zote za suspect siku zaja watadaka mission yote.
 
Kuwa na akiba ya maneno ni busara, maana maelezo yako yanaonesha kuna kitu unakijua![emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…