Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Akiwa na kamati ya ufundiHawezi sababu rais wetu kipenzi cha watanzania Mh Edward Lowasa hajamaliza kipindi chake cha urais wa Facebook JF Twitter na Instalgram hajamaliza mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa na kamati ya ufundiHawezi sababu rais wetu kipenzi cha watanzania Mh Edward Lowasa hajamaliza kipindi chake cha urais wa Facebook JF Twitter na Instalgram hajamaliza mkuu
So what. Rubbish. Watu wanasonga na miradi mikubwa. Wewe unaongelea ya zamani,kwani hata wakihojiwa ndio utakuwa Kama zamani
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Huyu mzee mnajua ameshachanganyikiwa zama zake zimeshakwisha na ubunge harudishiwi walahi kwanza wananchi wake wenyewe kwa sasa hawamtaki sasa sijui kwann anahangaika hivyo bora atulize hiyo mishono yake huku akifuatilia miradi yake na namna ya kuijenga familia yake kwa sasa siasa aachane nazo next time watampiga sindano ya REST IN PEACE
Kila jambo na wakati wake upepo ugeukaThe world is not fair ,wahusika wa kupigwa lissu risasi na kuuliwa ben saa8 wanajulikana lakini hawachukuliwi hatua yeyote.
Hawa watu waliofanya hayo matukio watu wakiliamsha itasaidia kupunguza hivyo vitendo,BASHITE akikamatwa na wachunguzi wa Scotland Yard wakija na kumoji vizuri na Kuminya KALIO na MBUPU lazima ataeleza ukweli.Kila jambo na wakati wake upepo ugeuka
Awamu zingine hata miaka 40 ijayo yungali Kijana iko siku itaingia awamu ya wengine waliowaumiza nao watawalipia visasi uzuri wako nyumba za vioo.Hawa watu waliofanya hayo matukio watu wakiliamsha itasaidia kupunguza hivyo vitendo,BASHITE akikamatwa na wachunguzi wa Scotland Yard wakija na kumoji vizuri na Kuminya KALIO na MBUPU lazima ataeleza ukweli.
Raisi wa mioyo ya watanzaniaaa... pipooooozzz
kukusaidia zaidi mgombea wetu mpya chadema ni Membe
Ungekuwa unajitambua kamwe usingeweza kujiita jina la mwanaume mwenzako.
Kuwa na akiba ya maneno ni busara, maana maelezo yako yanaonesha kuna kitu unakijua![emoji848]Huyu mzee mnajua ameshachanganyikiwa zama zake zimeshakwisha na ubunge harudishiwi walahi kwanza wananchi wake wenyewe kwa sasa hawamtaki sasa sijui kwann anahangaika hivyo bora atulize hiyo mishono yake huku akifuatilia miradi yake na namna ya kuijenga familia yake kwa sasa siasa aachane nazo next time watampiga sindano ya REST IN PEACE
Maombi yetu hayatawabariki bali yatawalaani tuHao wapuuzi wa kijani wanahitaji maombi tu
Hilo sio tusi hiyo ndiyo sifa yenuSasa unanitukana ili iweje?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wao tangu day one wanaingia ccm uelewa wao waliukabidhi kwa chakubanga
CCM hoyeeeee mamaaaaaaeeePumbavu zako.
Upuuzi mtupu.CCM hoyeeeee mamaaaaaaeee View attachment 1201937
CCM hoyeeeee mamaaaaaaeee View attachment 1201937
Upuuzi mtupu.
Na kama ulivyo wewe.Kama ulivyo wewe