Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Kwani ni uongo waliomtarget ni ccm ? Lisu ukiacha kuwa ni mwanasiasa ndio kiongozi anaeongeaga facts kuliko wote na ni jasiri sana angekuwa mlaini laini angeopt kuwa ccm leo angekuwa nae anaiba kama wenzake
 
Hii kitu ipo siku na wakati wowote itamwangukia tu Daud Albert Bashite a.k.a Paul Makonda..

Hao wachawi anaojivunia nguvu zao wana mwisho wao. Watakufa tu na watamwacha mtupu na kukamatwa kama ndege aliyenyeshewa na mvua ya mawe...!

Mungu Yehova si rafiki wa uovu hata kidogo hasahasa huu wa kumwaga damu za watu..

Damu za watu zinalia huko Ardhini. Zinadai kulipa kisasi mbele za Mungu..
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.

Facts gani, anachoongea ni ukweli, ww unatuleteq habari za hisia sijui upuuzi gani. Nani alitoa askari getini kwenye makazi ya wabunge aliposhambuliwa Lisu? Kama ww ni mtu wa facts taja aliyeagiza askari watolewe getini. Mlitarajia atakufa, hivyo mngetengeneza propaganda kuhusu kifo chake, uzuri yupo hai ana anausema ukweli.
 
Kiukweli Chadema wote wanamuogopa sana Makonda!
 
Kupitia haya maelezo ya Lissu; bila shaka kuna watu wawili wanahusika moja kwa moja na shambulio lake. Hao wengine ni wale waliotumwa kutekeleza hilo shambulio.

Na kwa hili, wahusika wote wataishuhudia adhabu yao hapa hapa duniani.
 
Wewe ndio mtoa adhabu au yupo mwingine
 
Kwani ni uongo waliomtarget ni ccm ? Lisu ukiacha kuwa ni mwanasiasa ndio kiongozi anaeongeaga facts kuliko wote na ni jasiri sana angekuwa mlaini laini angeopt kuwa ccm leo angekuwa nae anaiba kama wenzake
Acheni porojo hazina maana hizi
 
Wewe ndio mtoa adhabu au yupo mwingine
Utamfahamu tu huyo mtoa adhabu siku itakapofika. Mnamtangazia mtu kifo hadharani! Halafu mnaenda anakoishi na kuwaondoa walinzi wote! mnavuruga mfumo wa camera za usalama kwenye hayo makazi anayoishi! Mnamshambulia mtu saa saba mchana wa jua kali kwenye mji mdogo kama Dodoma!

Halafu mnategemea mtaikwepa adhabu ya Mungu! Ni suala tu la muda kabla hamjapukutika wote.
 
Ni swali tu dogo kulingana na tauhuma anazodai ana ushahidi kuhusu shambulio lake .
Soma zaidi kauli zake hapa
 
kama hakuna kigezo cha kumshtaki bora Lissu anyamaze aongelee mambo ya maendeleo
 
Mwanzo ilikuwa anaonekana ana point, ila now ni kama anatafuta milage tu
 
haina faida wala maana yeyote hata kama sheria ipo au haipo 🐒
Ni kupoteza muda na heshima tu....

R.I.P. Laigwanan comrade ENL
 
Aulizwe DCI atatusaidia majibu yaliyo mazuri zaidi.Kama haitoshi,na sisi tuombe tupigwe risasi za tumbo mojamoja tu ili tuihisi furaha aliyoipata Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…