Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Hakuna marefu yasiyo na ncha


Hints:

Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.

Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.

Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.

Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.

Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.

Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.

Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.


In God we Trust
 
Daima mungu hanaga mshindani na yeyote yule ashindanaye na mungu lazima alipe
Siku baada ya shambulio(tarehe 8/09/2017), alionekana Morogoro anapiga tizi majira ya asubuhi, akinyosha misuli baada ya kazi nzito jana yake...

In God we Trust
 
Lissu 1 tu ni zaidi ya ukoo wenu wote wa mapanya
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.

In God we Trust
 
Kwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.
Mbona povu au na wewe ndio hao wasiojulikana au wewe ni team Makonda?
 
Hizi zote ni sarakasi tu,maana kila lenye mwanzo lina Mwisho wake...sasa ukitaka kila anaekusema vibaya umuue,utawamaliza wote utakosa wa kumuongoza ....sasa linapokuja swala la nani alimpiga risasi Lisu,
Hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuthibitisha hilo,hivyo basi ni vyema kukaa kimya kuliko kuongea nonsense things.....maana kwa taifa lilivyo kwa sasa ukileta kimdomodomo wanafunika itokeapo sauti...

Stay in God's hands dear friends
 
Leo mnataka makonda ahojiwe wakati dereva mmemficha mile 800000000 ambaye ndiye angetoa ushuhuda wa tukio lilivyokuwa,usiseme ingkuwaje kama dereva angekufa..dereva hakufa na hajafa.
Inamaana Mkuu kuna sehemu Polisi iliwahi kuhitaji kumhoji Dereva, akakosekana.
Mnatafuta ili mumlishe maneno??
 
Ukimsikia mtu anauliza kwa wahka "Nani huyo?" Pindi pakidhaniwa pana "MWIZI" keshaiba cha MTU ujue KIVYOVYOTE ANA DALILI ZA UHUSIKA MKUU HUYO ANAYEJIHAMI!
 
Mkuu unajua Lissu alipigwa sana shaba
Hiv anahangaika nini kwani, anatafuta nini, kuna kitu gani amewah yeye kukifanya hapa Tanzania, hata huko Singida anapotoka amefanya nini......kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kutoa chochote tu kilichopo kinywan nayo ni shida.....Lissu utakaa kuongea sana coz hata Tanzania sasa unaiogopa.....mbona wenzio wapo kimya na siasa zinaenda na maisha pia.....WEWE NI NANI HASA HAPA TANZANIA MPAKA UONGEE SANA....hata kama mm pia ningekuwa namba moja Siwez kukuacha mbona......huko penyewe unaposemea wanauelewa mchezo vizur sana...na ndo wababe wa hyo michezo...wanakuona kama mwendawazimu......unaendelea kujichimbia shimo Tanzania.....rudi tu sisi macho yetu....lisu lisu ......utakufa siku sio zako endelea...
 
Wachunguzi huru walichunguza kwa siri kubwa, ubalozi wa Marekani uliwatuma FBI wakaenda Dodoma kimya kimya wakachumguza kwa kuwatumia wazawa kisayansi ndipo wakabaini kuwa zilitoka Gari mbili Dsm yaani Toyota vx na Nissan nyeupe ndani ya vx Toyota walikuwemo Watu wanne wanaojulikana wawili ambao ni Bashite na Le mutuz na kwenye Nissan nyeupe walikuwemo wasiojulikana wawili na watatu wanaojulikana ambao ni Jerry Muro, Cyprian musiba na Heri kisanduku ambaye ndiye alibeba bunduki kubwa na kumshambulia Tundu Lisu huku cyprian Musiba akitumia bunduki ndogo bastora kusaidia shambulio na baada ya shambulio waliondoka kwa kasi hadi morogoro kwa mganga wa kienyeji na pindi wakiendelea na ushirikina wao ndipo Bashite akapigiwa simu toka Dodoma kuwa cctv camera ziliwachukua Sura watu watatu yaani cyprian Musiba, Heri kisanduku na mmoja asiyejulikana ikabidi Bashite na Le mutuz warudi Dodoma haraka kwenda kuzing’oa zile cctv haraka kisha kupachika zingine kwa kasi ili kupateza ushahidi na akazichukua hizo cctv kuja nazo nyumbani kwake Mikochen hilo ni kwa mujibu wa Le mutuz lakini kupitia uchunguzi na siri zao kuvuja pia, siyo siri wala siyo Uongo wala Uonevu kwa Bashite ni kweli kuwa Maliyamungu Bashite ndiye aliyepanga na kuratibu na kutekeleza shambulio kwa Tundu Lisu, taarifa zote zipo kwa FBI na Tundu Lisu kapewa picha yote anajua A-Z
Musiba ni dhaifu sana, sidhani kama anauwezo wakutumia bastola yule...
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.

hiyo quote yako ya mstari wa kiingereza rekebisha sidhan kama unaleta maana ndugu samahan lakin tunajua lugha za watu izi
 
Back
Top Bottom