Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa taarifa ni nyaulingo na tayari nyaulingo alishatolewa kafara kitambo hayupo kwenye mfumo Siri ikivuja unauawa au kunyanazishwa kinyama
 
Mahakama zipo Mbona cyprian Musiba anatamba atakavyo?
Naona kule Twitter watu wanahamasishana kuishikisha adabu familia ya Musiba ili tabia ya kutekana iishe kwa wao kusikia maumivu.
Jee Musiba ataweza kupewa ulinzi wake, mke na watoto?
Hilo litakuwa fundisho kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kule Twitter watu wanahamasishana kuishikisha adabu familia ya Musiba ili tabia ya kutekana iishe kwa wao kusikia maumivu.
Jee Musiba ataweza kupewa ulinzi wake, mke na watoto?
Hilo litakuwa fundisho kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Msiba asomewe Albadiri tu inamtosha
 
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Wewe mwenyewe ni suspect, au ndo jiwe mwenyewe nini?

Makelele ni silaha tosha, ya kuangamiza chochote! ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga, hata ufanyeje utalipa tu! hata kwa kujilipua mimi ni ccm kindakindaki,

Lkn alipofika siko sijapenda kumfanyia Binadamu mwenzio hivo! wala simuungi mkono!
 
Naona kule Twitter watu wanahamasishana kuishikisha adabu familia ya Musiba ili tabia ya kutekana iishe kwa wao kusikia maumivu.
Jee Musiba ataweza kupewa ulinzi wake, mke na watoto?
Hilo litakuwa fundisho kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jinga sana ni Mhaya anajifanya wa Mara anatia aibu watu wa Mara kuwa km vikaragosi,

Hata wakimpa ulinzi wa familia umedumu sana mwaka! then anakuwa LOOse!

Ila kuna habari nyepesi amenunua Nyumba kwa hela ya serikali nchini Lesotho, sehemu moja inaitwa Western Maseru na ame nunua shamba hekari 20,000, Leribe estate, ajili ya kujikim akiwa Lesotho.

mkimuona kimya anaendaga huko, anatumia sana Rwanda air line. usafiri wa saa saba usiku kwenda South.
 
Halafu eti wanataka wamdhuru na Zitto Kabwe. Wanataka kuendelea kujipalia makaa. JIWE NA VIBARAKA WAKE PRESSURE INAPANDA, PRESSURE INASHUKA.
 
Na hapo US hawajataka kuwa wazi zaidi, na uwazi wenyewe ni huu: US inajua kuwa Bashite na Mkulu wanahusika na jaribio la mauaji dhidi ya Lissu, kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda,n.k na kuwaweka watu ndani kwa mashtaka ya uongo yaliyobatizwa jina la Uhujumu Uchumi.

There's much more to come.
 
Sure mkuu ukizingati huyo waziri pompel alikuwa mkuu wa CIA kipindi cha mashambulio
 
Damu ya lissu
2108469_IMG_20190708_112420_395.jpg
 
this week has been the brightest one for the well being of our country.... the WB decision, the US embassy memo to the TZ govt and now this US govt ban vs Bashite. wow!!

the tyrant is on a spotlight.... akin to a rabbit caught in the headlights!
 
Hata mimi nilikuwepo na nilifanya bonge la pati kwa furaha.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom