balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Aliyekwambia hii issue iko mahakamani nani? Au mahakama unaenda tu?So what! Kama anawajua waliompiga risasi akawataje mahakamani.otherwise msituchoshe na kelele za chura kwenye Maji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekwambia hii issue iko mahakamani nani? Au mahakama unaenda tu?So what! Kama anawajua waliompiga risasi akawataje mahakamani.otherwise msituchoshe na kelele za chura kwenye Maji.
Mmmh!Ni si Yu
Mtoa taarifa ni nyaulingo na tayari nyaulingo alishatolewa kafara kitambo hayupo kwenye mfumo Siri ikivuja unauawa au kunyanazishwa kinyamaKuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo ulimpiga risasi maana unamchukia sanaHuyu Lissu ovyo ovyo tu.kwani kuna watu ambao hawatakiwi kwenda Dodoma ?
Mahakamaccm? au mahakama ya mwezini?So what! Kama anawajua waliompiga risasi akawataje mahakamani.otherwise msituchoshe na kelele za chura kwenye Maji.
Mahakama zipo Mbona cyprian Musiba anatamba atakavyo?Aliyekwambia hii issue iko mahakamani nani? Au mahakama unaenda tu?
Albadiri zilisomwa kimya kimya ndiyo maana nyaulingo akapatwa na majangaTulikatazwa kusoma albadir mheshimiwa Lissu
Naona kule Twitter watu wanahamasishana kuishikisha adabu familia ya Musiba ili tabia ya kutekana iishe kwa wao kusikia maumivu.Mahakama zipo Mbona cyprian Musiba anatamba atakavyo?
Msiba asomewe Albadiri tu inamtoshaNaona kule Twitter watu wanahamasishana kuishikisha adabu familia ya Musiba ili tabia ya kutekana iishe kwa wao kusikia maumivu.
Jee Musiba ataweza kupewa ulinzi wake, mke na watoto?
Hilo litakuwa fundisho kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe ni suspect, au ndo jiwe mwenyewe nini?Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Huyu jinga sana ni Mhaya anajifanya wa Mara anatia aibu watu wa Mara kuwa km vikaragosi,Naona kule Twitter watu wanahamasishana kuishikisha adabu familia ya Musiba ili tabia ya kutekana iishe kwa wao kusikia maumivu.
Jee Musiba ataweza kupewa ulinzi wake, mke na watoto?
Hilo litakuwa fundisho kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo US hawajataka kuwa wazi zaidi, na uwazi wenyewe ni huu: US inajua kuwa Bashite na Mkulu wanahusika na jaribio la mauaji dhidi ya Lissu, kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda,n.k na kuwaweka watu ndani kwa mashtaka ya uongo yaliyobatizwa jina la Uhujumu Uchumi.BASHITE zirobrain
Sure mkuu ukizingati huyo waziri pompel alikuwa mkuu wa CIA kipindi cha mashambulioNa hapo US hawajataka kuwa wazi zaidi, na uwazi wenyewe ni huu: US inajua kuwa Bashite na Mkulu wanahusika na jaribio la mauaji dhidi ya Lissu, kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda,n.k na kuwaweka watu ndani kwa mashtaka ya uongo yaliyobatizwa jina la Uhujumu Uchumi.
There's much more to come.