Tundu Lissu: Sikumuomba Samia nirudi nchini, Yeye ndiye aliyenitafuta wakati huo Mbowe yuko Gerezani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Tundu Lissu amesema hakuwahi kuomba kurejea nchini, bali Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyemtafuta mwaka 2022, wakati huo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa gerezani. Lissu amesema baada ya kupata ujumbe huo alishauriana na viongozi wenzake kabla ya kukutana na Rais Samia nchini Ubelgiji.

1787577089231.png

Lissu amesema katika mazungumzo hayo alimtaka Rais Samia kuanza kwa kumuachia Mbowe, kushughulikia suala la Katiba Mpya na kuweka mfumo huru wa uchaguzi. Amesema Rais alikubali, huku baadaye Mbowe akiachiliwa na yeye pamoja na viongozi wengine kurejea nchini.

Fuatilia mwenendo wa Kesi > Lissu: Tume ya Uchaguzi ni ya CCM na haifai katika mfumo wa Demokrasia wa Vyama Vingi

Amesema baada ya kurejea, CHADEMA na CCM zilianza mazungumzo ya maridhiano yaliyowakutanisha Mbowe na Kinana, ambapo walipendekeza marekebisho ya Katiba na mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Hata hivyo, amesema walishangazwa na kutofanyika kwa hatua licha ya kuwasilisha mapendekezo na ratiba ya mabadiliko.

1787577210357.png

1787577265441.png

1787577305893.png
 
Atawaumbua sana huyu rastaman
 
Siyo raisi CCM kuaminika hadi siku ya kiama😀😀😀
 
Huu upepo ni mkali sana, nyeti za kuku tutaziona nje nje. DeePeePee tia mpira kwapani mapema kwani hatuko tayari sisi vijana wa 2000 kuona nyeti za bibi zetu.

Mchana tumekumbushwa mauaji ya halaiki Bulynhulu. vijana waliachiwa wakaingia kwenye mashimo, kikosi cha buludoza kikaamrisha kikasawazisha eneo vijana wakafa kama kuku.
 
hivyo vitu wao kuvikubali moja kwa moja ni jambo gumu unless wawe hawana option kabisa wawe wamekabwa kila kona lakini hivi hivi sioni ikiwa rahisi hivyo
Wanafahamu kimbembe chake. Ukizungumzia Mgombea Huru, hata akina Tundu Lissu wanakasirika!!! Vyama vingi si mkombozi wa wanyonge bari mgombea huru
 
misingi ya kidemokrasia kama itaimarika na kuwa katika mstari wake kuna vitu ambavyo tunaviona ni impossible vitakuwa possible kwenye ulingo wa kisiasa..
 
Back
Top Bottom