Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mbona tayari ziko kwenye magotiKesi hii,itamvua saa100 nguo
Mbona tayari ziko kwenye magotiKesi hii,itamvua saa100 nguo
Kwa kuongeza herufi 'I' kutoka NEC ikawa INEC .siyo!!!!?Sheria ya Uchaguzi Ilshabadilishwa na kuna tume mpya.
Katiba mpya ipo kwenye mipango ya CCM.
The Pandora box is openingTundu Lissu amesema hakuwahi kuomba kurejea nchini, bali Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyemtafuta mwaka 2022, wakati huo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa gerezani. Lissu amesema baada ya kupata ujumbe huo alishauriana na viongozi wenzake kabla ya kukutana na Rais Samia nchini Ubelgiji.
Lissu amesema katika mazungumzo hayo alimtaka Rais Samia kuanza kwa kumuachia Mbowe, kushughulikia suala la Katiba Mpya na kuweka mfumo huru wa uchaguzi. Amesema Rais alikubali, huku baadaye Mbowe akiachiliwa na yeye pamoja na viongozi wengine kurejea nchini.
Fuatilia mwenendo wa Kesi > Lissu: Tume ya Uchaguzi ni ya CCM na haifai katika mfumo wa Demokrasia wa Vyama Vingi
Amesema baada ya kurejea, CHADEMA na CCM zilianza mazungumzo ya maridhiano yaliyowakutanisha Mbowe na Kinana, ambapo walipendekeza marekebisho ya Katiba na mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Hata hivyo, amesema walishangazwa na kutofanyika kwa hatua licha ya kuwasilisha mapendekezo na ratiba ya mabadiliko.
Kwanini hajawahi kutamkaLissu akatae mgombea huru umelogwa
Sheria ya Uchaguzi Ilshabadilishwa na kuna tume mpya.
Katiba mpya ipo kwenye mipango ya CCM.
Kwenye hiyo sheria ya uchaguzi kilibadilika nini?Sheria ya Uchaguzi Ilshabadilishwa na kuna tume mpya.
Katiba mpya ipo kwenye mipango ya CCM.
Lini Lissu alikataa mgombea binafsi? Tuache uongoWanafahamu kimbembe chake. Ukizungumzia Mgombea Huru, hata akina Tundu Lissu wanakasirika!!! Vyama vingi si mkombozi wa wanyonge bari mgombea huru
Ina maana kubwa sana. Samiah aliona ana umuhimu mkubwa kuliko wewe chawa unayejificha kwa jina la uongo JF.Akitoka ndani asepe uko uko Ubelgiji
Watanzania hatumuitaji kabisa.
Kumbe kaja kwa wito wa Dk Rais Samia Suluhu Hassan
Sasa neno ukombozi wanatoaga wapi
Kuja yako yenyewe kwa kuitwa na kiongozi wa CCM
Bado Chadema wanamuona ndio Mkombozi wao🤠🤠🤠🤠
Unataka Lissu aliye mahabusu atamke ila wewe uliye huru umejificha uvunguni. Very stupid idiotKwanini hajawahi kutamka
Kwa akili yako utofauti wa hizo tume kati ile ya zamani na ya sasa ni ipi? Anaekufuga alisema mchakato utaanza ndani ya siku 100 mara baada ya kuapishwa je leo ni siku ya ngapi mbuzi wewe?Sheria ya Uchaguzi Ilshabadilishwa na kuna tume mpya.
Katiba mpya ipo kwenye mipango ya CCM.
Poa lite mkuu.Kwa akili yako utofauti wa hizo tume kati ile ya zamani na ya sasa ni ipi? Anaekufuga alisema mchakato utaanza ndani ya siku 100 mara baada ya kuapishwa je leo ni siku ya ngapi mbuzi wewe?
Nini!?Huu upepo ni mkali sana, nyeti za kuku tutaziona nje nje. DeePeePee tia mpira kwapani mapema kwani hatuko tayari sisi vijana wa 2000 kuona nyeti za bibi zetu.
Mchana tumekumbushwa mauaji ya halaiki Bulynhulu. vijana waliachiwa wakaingia kwenye mashimo, kikosi cha buludoza kikaamrisha kikasawazisha eneo vijana wakafa kama kuku.
Matusi ya nini ndugu! Jenga hoja kiutu uzimaUnataka Lissu aliye mahabusu atamke ila wewe uliye huru umejificha uvunguni. Very stupid idiot
Uchunguzi upi kumbe tume ile haikumaliza kila kitu? Aisee pesa zimeenda bure tuPoa lite mkuu.
Hapo bado hatujamalizana na tume ya uchunguzi wa kijinai halafu maridhiano.
Katiba inatakiwa ipatikane wote tukiwa na akili zinazosomana.
Uchunguzi upi kumbe tume ile haikumaliza kila kitu? Aisee pesa zimeenda burePoa lite mkuu.
Hapo bado hatujamalizana na tume ya uchunguzi wa kijinai halafu maridhiano.
Katiba inatakiwa ipatikane wote tukiwa na akili zinazosomana.
Ungekuwa very specific kwa kusema, "......ni anguko lao na hilo hawapo tayari kulikubali kwa hiari yao isipokuwa kwa KULAZIMISHWA..."ccm kukubali katiba mpya ni kukubali anguko lao na hilo hawapo tayari nalo
Anguko la mwenye kiburi lonatokana na kiburi chake.Nakubaliana na wewe 100%.Ukweli ni kwamba ccm hawana nia ya kufanya maridhiano yoyote,wala kuleta katiba mpya,wala tume huru ya uchaguzi.Hizi tume za uchunguzi zinazoundwa ni maigizo tu.Ungekuwa very specific kwa kusema, "......ni anguko lao na hilo hawapo tayari kulikubali kwa hiari yao isipokuwa kwa KULAZIMISHWA..."
Lakini mimi nakuhakikishia jambo moja kuwa, CCM itaanguka kwa kulazimishwa na circumstances..
Anguko la mtu mwenye kiburi siku zote huwa liko orchestrated na kiburi chake mwenyewe..
CCM itaanguka kwa kiburi chake yenyewe...
CHADEMA walikuwa wamekwisha ,huyo mother hapo aliwahurumia ila wamekuja kumgeuka ..Bora ufadhili mbuzi kuliko hao jamaa ,yaani kulikuwa hakuna chama ,Lema ,Lissu wote walikimbia wakimuacha Mbowe anapambania chama.Akitoka ndani asepe uko uko Ubelgiji
Watanzania hatumuitaji kabisa.
Kumbe kaja kwa wito wa Dk Rais Samia Suluhu Hassan
Sasa neno ukombozi wanatoaga wapi
Kuja yako yenyewe kwa kuitwa na kiongozi wa CCM
Bado Chadema wanamuona ndio Mkombozi wao🤠🤠🤠🤠