Tundu Lissu: Sikumuomba Samia nirudi nchini, Yeye ndiye aliyenitafuta wakati huo Mbowe yuko Gerezani

Tundu Lissu: Sikumuomba Samia nirudi nchini, Yeye ndiye aliyenitafuta wakati huo Mbowe yuko Gerezani

Umeona kumbe hakuja kukomboa Nyumbu 🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎

Wenyewe wameshoboka kwake
Yeye alikuwa mgeni wa RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN TU✍️
Acha kujifanya unajua kubadili mada, hii ni akili ya mbuni kuficha kichwa ktk mchanga ili hali mwili wote uko nje.

Ameeleza hili kujibu ninyi wajinga ambao mmekuwa mkipumbazwa kuwa Lissu aliomba hisani ya kurejea na kulipwa mafao, bali alijua kuwa ni haki yake kurudi nchini kwake na ni haki yake kulipwa mafao yake haijalishi vitachelewa kwa wakati gani na ndiyo maana aliweka masharti ya kurudi ikiwa ni pamoja na ulinzi, kumtoa Mbowe ndani na mengineyo. Huyu ndiye mpigania haki wa kweli.
 
Akitoka ndani asepe uko uko Ubelgiji
Watanzania hatumuitaji kabisa.
Kumbe kaja kwa wito wa Dk Rais Samia Suluhu Hassan

Sasa neno ukombozi wanatoaga wapi

Kuja yako yenyewe kwa kuitwa na kiongozi wa CCM

Bado Chadema wanamuona ndio Mkombozi wao🤠🤠🤠🤠
Hapa kijana unatumia HISIA ZAIDI, tulia hivyo hivyo furahia maisha ila ujue HAYO UNAYOYAFURAHIA KUNA WATU WAMEYAPIGANIA, story zipo hata siku mkoloni anaondoka sio weusi wote walifurahi, kuna watu walisikitika na kumwaga machozi.

Kipindi Mkwawa anakinukisha kuna watu alilalamika kuwa anawaletea shida, mbona walishazoea tu suluba za mkoloni, wanakula na kulala.

Kuna haki zako nyingi unazipata ikiwa ni matokeo ya hawa hawa majamaa kupiga makelele.

Ungekuwa wewe ndio Lissu ungejikunjia zako Bilioni 5 au 6 then unatuacha tuskilizie joto ya jiwe, jamaa ana purpose of his life ameishaijua lakini hajui ataishia wapi, kinachotakiwa ni kuendelea tu mpaka atakapofikia jambo ambalo ni la uhakika zaidi; KIFO NA WOTE TUTAKUFA
 
Hivi Lissu na familia yake bado wanaishi Oysterbay kwenye nyumba aliyopewa Mbowe kama kiongozi wa upinzani bungeni ?
 
Akitoka ndani asepe uko uko Ubelgiji
Watanzania hatumuitaji kabisa.
Kumbe kaja kwa wito wa Dk Rais Samia Suluhu Hassan

Sasa neno ukombozi wanatoaga wapi

Kuja yako yenyewe kwa kuitwa na kiongozi wa CCM

Bado Chadema wanamuona ndio Mkombozi wao
 
Ungekuwa very specific kwa kusema, "......ni anguko lao na hilo hawapo tayari kulikubali kwa hiari yao isipokuwa kwa KULAZIMISHWA..."

Lakini mimi nakuhakikishia jambo moja kuwa, CCM itaanguka kwa kulazimishwa na circumstances..

Anguko la mtu mwenye kiburi siku zote huwa liko orchestrated na kiburi chake mwenyewe..

CCM itaanguka kwa kiburi chake yenyewe...
Sahihi, ikibidi force pia itumike
 
Sheria ya Uchaguzi Ilshabadilishwa na kuna tume mpya.

Katiba mpya ipo kwenye mipangoa ya CCM.

Hiki ndio mlichofanya , mmepaka rangi kidogo [kubadili jina] ila kila kitu kiko vile vile.

CCM ni walaghai, halafu tangu lini CCM ikaleta katiba?

Yaani jinsi mlivyokataa tume huru [halisi kimuundo na na kiutendaji] mtakubali katiba ambayo tutamshtaki kila mtu akiwemo rais?

downloadfile-55.jpg
 
Back
Top Bottom