Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Atawaumbua sana huyu rastamanTundu Lissu amesema hakuwahi kuomba kurejea nchini, bali Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyemtafuta mwaka 2022, wakati huo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa gerezani. Lissu amesema baada ya kupata ujumbe huo alishauriana na viongozi wenzake kabla ya kukutana na Rais Samia nchini Ubelgiji.
Lissu amesema katika mazungumzo hayo alimtaka Rais Samia kuanza kwa kumuachia Mbowe, kushughulikia suala la Katiba Mpya na kuweka mfumo huru wa uchaguzi. Amesema Rais alikubali, huku baadaye Mbowe akiachiliwa na yeye pamoja na viongozi wengine kurejea nchini.
Amesema baada ya kurejea, CHADEMA na CCM zilianza mazungumzo ya maridhiano yaliyowakutanisha Mbowe na Kinana, ambapo walipendekeza marekebisho ya Katiba na mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Hata hivyo, amesema walishangazwa na kutofanyika kwa hatua licha ya kuwasilisha mapendekezo na ratiba ya mabadiliko.
Kwanza wakubali mgombea huru, uone kisanga kwa CCMccm kukubali katiba mpya ni kukubali anguko lao na hilo hawapo tayari nalo
hivyo vitu wao kuvikubali moja kwa moja ni jambo gumu unless wawe hawana option kabisa wawe wamekabwa kila kona lakini hivi hivi sioni ikiwa rahisi hivyoKwanza wakubali mgombea huru, uone kisanga kwa CCM
Siyo raisi CCM kuaminika hadi siku ya kiamaπππTundu Lissu amesema hakuwahi kuomba kurejea nchini, bali Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyemtafuta mwaka 2022, wakati huo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa gerezani. Lissu amesema baada ya kupata ujumbe huo alishauriana na viongozi wenzake kabla ya kukutana na Rais Samia nchini Ubelgiji.
Lissu amesema katika mazungumzo hayo alimtaka Rais Samia kuanza kwa kumuachia Mbowe, kushughulikia suala la Katiba Mpya na kuweka mfumo huru wa uchaguzi. Amesema Rais alikubali, huku baadaye Mbowe akiachiliwa na yeye pamoja na viongozi wengine kurejea nchini.
Fuatilia mwenendo wa Kesi > Lissu: Tume ya Uchaguzi ni ya CCM na haifai katika mfumo wa Demokrasia wa Vyama Vingi
Amesema baada ya kurejea, CHADEMA na CCM zilianza mazungumzo ya maridhiano yaliyowakutanisha Mbowe na Kinana, ambapo walipendekeza marekebisho ya Katiba na mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Hata hivyo, amesema walishangazwa na kutofanyika kwa hatua licha ya kuwasilisha mapendekezo na ratiba ya mabadiliko.
Wanafahamu kimbembe chake. Ukizungumzia Mgombea Huru, hata akina Tundu Lissu wanakasirika!!! Vyama vingi si mkombozi wa wanyonge bari mgombea huruhivyo vitu wao kuvikubali moja kwa moja ni jambo gumu unless wawe hawana option kabisa wawe wamekabwa kila kona lakini hivi hivi sioni ikiwa rahisi hivyo
Sheria ya Uchaguzi Ilshabadilishwa na kuna tume mpya.
Katiba mpya ipo kwenye mipango ya CCM.
Wanafahamu kimbembe chake. Ukizungumzia Mgombea Huru, hata akina Tundu Lissu wanakasirika!!! Vyama vingi si mkombozi wa wanyonge bari mgombea huru
Naona Sindano ishaanza kupenya kisawasawa....wanasiasa acheni jeuri
misingi ya kidemokrasia kama itaimarika na kuwa katika mstari wake kuna vitu ambavyo tunaviona ni impossible vitakuwa possible kwenye ulingo wa kisiasa..Wanafahamu kimbembe chake. Ukizungumzia Mgombea Huru, hata akina Tundu Lissu wanakasirika!!! Vyama vingi si mkombozi wa wanyonge bari mgombea huru
Hiyo Tume mpya iliteuliwa na nani?Sheria ya Uchaguzi Ilshabadilishwa na kuna tume mpya.
Katiba mpya ipo kwenye mipango ya CCM.