Tundu Lissu: Sikumuomba Samia nirudi nchini, Yeye ndiye aliyenitafuta wakati huo Mbowe yuko Gerezani

The Pandora box is opening
 
Ina maana kubwa sana. Samiah aliona ana umuhimu mkubwa kuliko wewe chawa unayejificha kwa jina la uongo JF.
 
Kwa akili yako utofauti wa hizo tume kati ile ya zamani na ya sasa ni ipi? Anaekufuga alisema mchakato utaanza ndani ya siku 100 mara baada ya kuapishwa je leo ni siku ya ngapi mbuzi wewe?
Poa lite mkuu.

Hapo bado hatujamalizana na tume ya uchunguzi wa kijinai halafu maridhiano.

Katiba inatakiwa ipatikane wote tukiwa na akili zinazosomana.
 
Nini!?
 
Poa lite mkuu.

Hapo bado hatujamalizana na tume ya uchunguzi wa kijinai halafu maridhiano.

Katiba inatakiwa ipatikane wote tukiwa na akili zinazosomana.
Uchunguzi upi kumbe tume ile haikumaliza kila kitu? Aisee pesa zimeenda bure tu
 
Poa lite mkuu.

Hapo bado hatujamalizana na tume ya uchunguzi wa kijinai halafu maridhiano.

Katiba inatakiwa ipatikane wote tukiwa na akili zinazosomana.
Uchunguzi upi kumbe tume ile haikumaliza kila kitu? Aisee pesa zimeenda bure
 
ccm kukubali katiba mpya ni kukubali anguko lao na hilo hawapo tayari nalo
Ungekuwa very specific kwa kusema, "......ni anguko lao na hilo hawapo tayari kulikubali kwa hiari yao isipokuwa kwa KULAZIMISHWA..."

Lakini mimi nakuhakikishia jambo moja kuwa, CCM itaanguka kwa kulazimishwa na circumstances..

Anguko la mtu mwenye kiburi siku zote huwa liko orchestrated na kiburi chake mwenyewe..

CCM itaanguka kwa kiburi chake yenyewe...
 
Anguko la mwenye kiburi lonatokana na kiburi chake.Nakubaliana na wewe 100%.Ukweli ni kwamba ccm hawana nia ya kufanya maridhiano yoyote,wala kuleta katiba mpya,wala tume huru ya uchaguzi.Hizi tume za uchunguzi zinazoundwa ni maigizo tu.
 
CHADEMA walikuwa wamekwisha ,huyo mother hapo aliwahurumia ila wamekuja kumgeuka ..Bora ufadhili mbuzi kuliko hao jamaa ,yaani kulikuwa hakuna chama ,Lema ,Lissu wote walikimbia wakimuacha Mbowe anapambania chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…