Tundu Lissu: Suala la Bandari halihitaji kuamuliwa na Mahakama za Sheria bali Mahakama za Umma. Gesi yote, Dhahabu yote na sasa Bandari vimekwenda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.

Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.

Mlale Unono 😄😄
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha

Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee

Mlale Unono 😄😄
Makaburi yao yatafukuliwa na kuchomwa moto! Waache washupaze shingo kuuza mali ya umma! Hata hao wanaojidai wananunua mali za umma wa watanganyika kwa rushwa yatawapata kama makabaila wa
Zimbabwe! Tutazitaka kwa nguvu mali za umma!
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha

Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee

Mlale Unono [emoji1][emoji1]

Rosttam huwa hakosei.
 
Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!! Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Kabisa, serikali zinazoingia madarakani bila ridhaa ya umma, huwa haziogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma pekee.

Unapokuwa na umma usio tayari kulipa gharama za mabadiliko, kila kitu kitauzwa na hakuna tutakalofanya. Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili tuanze moja kiutawala.
 
Wewe Hapa JF tu umejificha kwa ID fake 😂😂
 
Hivi mkuu wa majeshi hayaoni ya Niger?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu wa majeshi mara nyingi huwa ni watu wanaokula keki ya taifa, ni nadra kufanya kama ya Niger. Hayo hufanywa na wenye vyeo vya chini. Kwa hapa Tanzania wanajeshi chini ya utawala wa Nyerere ndio walikuwa na uthubutu huo. Sio hawa wanaotaka kuteuliwa wakuu wa mikoa, taasisi za umma na bodi mbalimbali.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha

Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee

Mlale Unono 😄😄
100%
 
Back
Top Bottom