Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Matttakoo yako,ushashiba makande una bwabwaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matttakoo yako,ushashiba makande una bwabwaja
Mwabu yupo sahihi lazima uanzie huko ili utengeneze contentHii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!!
Duniani kote hakuna uhuru uliopatikana mahakamani!!
Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Kwa nini mpaka usubiri wanajeshi wapindue? Hata wewe Tindo Unaweza tu kama una dhamira.Sisi hatuna raha hiyo, nyie mnaokula cake ya taifa ndio mna vya kupoteza. Tuko tayari kuunga mkono mapinduzi ya kijeshi maana nao watakuwa watanzania, kisha walete katiba mpya itakayofuatwa na wote bila upendeleo.
Sitaki kuitawala hii Tanzania boss, lakini siko tayari kuongozwa na CCM.Kwa nini mpaka usubiri wanajeshi wapindue? Hata wewe Tindo Unaweza tu kama una dhamira.
Lagangira aka Uncle Tom hakuwa Mwanajeshi lakini aliwatumia akina Capt Tamimu, Hanspope, Kadego kutaka kumpindua Nyerere.
Kama una akili ya kuweza kuibadili Tanzania toka hapa ilipo basi una uwezo wa kupindua. Kama unafikiri ni kazi ya wanajeshi basi jitambue huna uwezo wa kutawala nchi hii pia
Mtafanya ninimakuwadi ya dpworld yamegeuka mapuppets zidi yetu ila mtajuta wajinga nyinyi comes 2025.
Duh.Ukikuta mwanamme halewi Ujue hana majukumu kwa familia wala taifa 😂😂😂
Hii aliniambia Ben wa Lupaso!
Namdhihaki kivipi wakati Zitto ndio alivyomuita?Ndio wanamuunga mkono. Hutaki? Halafu muogope Mungu wewe jamaa. unamdhihaki vipi mtu aliyetendewa unyama namna ile na kusababishiwa ulemavu namna ile?
Yaani usomapo ujumbe huu UTUBU. Umenielewa wewe?
Kama ulimshamgaa Mwambukusi kwenda mahakamani, kwanini wewe usianzishe hiyo njia sahihi? Unataka nani aianzishe hiyo njia sahihi kama sio wewe? Pumbavu!!!Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!!
Duniani kote hakuna uhuru uliopatikana mahakamani!!
Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Usimlaumu ,alikuwa anataka kuthibitisha kauli ya rostam azizi pengineHii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!!
Duniani kote hakuna uhuru uliopatikana mahakamani!!
Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Tutapiga kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani tuone nani ataibuka mshindi.Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono 😄😄
Utamshangaa vipi Mwabukusi wakati anaijengea hoja kesi itakayoamuliwa na mahakama ya wananchi? Hii ilikuwa ni hatua muhimu sana kabla ya kuwafikia wenye mahakama yao.Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!!
Duniani kote hakuna uhuru uliopatikana mahakamani!!
Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Angesema wkt bado hukumu haijatokaMakamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.
Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.
Mlale Unono [emoji1][emoji1]
Unajidunga sindano ya kuondoa maumivu, siyo?Katika majaji million 60 majority wanasupport only minority ndio wanapiga kelele na sifa ya kelele ni kusikika hata kama ni watu wawili barabarani wakizipiga sana zitasikika tu.
Mkataba wa IGA, unasema hata Serikali ikibadilika au mahusiano ya kidiplomasia yakiharibika, hauvunjiki (Kifungu 23:4).Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.
Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.
Mlale Unono [emoji1][emoji1]
Ngumu sana.Hiki kikundi kimejiwekea mfumo mgumu sana kukiondoa.Hivi sasa wameingiza na dini fulani kwa hiyo hali ni tete zaidi.Laana ni CCM
Ila siku yenu yaja...
It'll take years. We will reach there.
NBC BANK kuna tija gani?Tusipoteze muda na Tundu Lissu. Kwani nani kamuambia raia wote Milioni 60 hawataki DP WORLD? Yeye mwenyewe kaweka familia Belgium halafu anataka kushawishi watu wakinukishe.
Imeisha hiyo DP WORLD waje, wawekeze, tija ya TPA iongezeke ili kuwe na efficiency kwenye SGR yetu.
Usimtupie jiwe kila mbwa unayekutana naye, utapoteza malengo