johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
So sad Maana kapambana santa binafs nampa Maua yake.Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!! Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Makaburi yao yatafukuliwa na kuchomwa moto! Waache washupaze shingo kuuza mali ya umma! Hata hao wanaojidai wananunua mali za umma wa watanganyika kwa rushwa yatawapata kama makabaila waMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono ππ
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono [emoji1][emoji1]
Alijyaribu kutuonesha kitu cha tofautiHii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!! Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Kabisa, serikali zinazoingia madarakani bila ridhaa ya umma, huwa haziogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma pekee.Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!! Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Bwashee hao Wagner usiwaombeeWagner waje kutuondolea haya mashetani
Wewe Hapa JF tu umejificha kwa ID fake ππKabisa, serikali zinazoingia madarakani bila ridhaa ya umma, huwa haziogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma pekee.
Unapokuwa na umma usio tayari kulipa gharama za mabadiliko, kila kitu kitauzwa na hakuna tutakalofanya. Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili tuanze moja kiutawala.
Wakuu wa majeshi mara nyingi huwa ni watu wanaokula keki ya taifa, ni nadra kufanya kama ya Niger. Hayo hufanywa na wenye vyeo vya chini. Kwa hapa Tanzania wanajeshi chini ya utawala wa Nyerere ndio walikuwa na uthubutu huo. Sio hawa wanaotaka kuteuliwa wakuu wa mikoa, taasisi za umma na bodi mbalimbali.
Sitaki uteuzi.Wewe Hapa JF tu umejificha kwa ID fake ππ
Kafanya kwa nafasi yake.Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!! Nilimshangaa mno Mwabukusi!
100%Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha
Lisu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee
Mlale Unono ππ
makuwadi ya dpworld yamegeuka mapuppets zidi yetu ila mtajuta wajinga nyinyi comes 2025.Hao millioni sitini na ushee wote wanamuunga mkono huyo chiba?
Wagner nao ni mkataba mwingine unaoweza kuwa mbaya zaidi.Wagner waje kutuondolea haya mashetani