Tundu Lissu: Suala la Bandari halihitaji kuamuliwa na Mahakama za Sheria bali Mahakama za Umma. Gesi yote, Dhahabu yote na sasa Bandari vimekwenda!

Hao million 60 umewatowa wapi?


Hapo, kwanza Waislam usituingize kabisa katika huu ujinga wenu.
 
LISSU always hits kweny mshono!! Means LISSU kamwe hawez pendwa wa bakora hizi!!
 
Kama macho yako hayaoni, funguwa masikio. Naona mna beep tu.
Kama Iran wanatembea Vichwa Wazi kama Wasweden waliochoma basi Waislamu wamebakia Afghanistan na Somalia tu 😂😂😂

Uislam ni Imani siyo majina mume Salumu mke Ester 😄😄
 
Kama Iran wanatembea Vichwa Wazi kama Wasweden waliochoma basi Waislamu wamebakia Afghanistan na Somalia tu 😂😂😂

Uislam ni Imani siyo majina mume Salumu mke Ester 😄😄
Mapapai mnajulikana:

 
Mapapai mnajulikana:

Ndio nikakwambia Tanzania hamna Waislamu kuna Nyie wala nguruwe tu 😂😂

Uislam ni dini ya amani na Lugha ya Muislamu Wakati Wote imejaa hekima na ushawishi Kitu ambacho hukipati kwenu Nyie Waswahili wa darisalama 😄😄
 
Arudi kwa mabwana zake huko. Wivu unamsumbua. Alimpinga Kikwete akaja kumpinga Dr Magufuli na sasa anapinga juhudi za Dkt Samia. Huyu mdau ni kimeo hafai kabisa yaani bichwa lake lina kasoro. Inawezekana familia yake watakuwa na ka wehu fulani fulani, na unaweza kuta mtu ka huyu mtoto wake akifeli shule anaweza kwenda kudai ada shuleni kisa mwanae kafeli utadhani ada ndiyo inamfanya mtoto afaulu shule.
 
Solution pekee iliyobaki ya Ujinga wa CCM ni Jeshi. Otherwise hakuna kitu mifumo ya kiraia inaweza kufanya!
 
ITAPENDEZA kujadili hoja zake badala ya yeye kama yeye. Je, wewe jamii inakujua kivipi?
 
Adui namba moja wa taifa letu ni CCM na serikali yake
 
Which umma? Mr Tundu tried your darndest till you ran your voise hoarse, ukaambulia 87%/13%. Au kuna mahakama ingine ile ya diaspora, our traitors and ranaway slaves?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…