Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
 
Ukweli mchungu.

Hawaoni wanaharakati wenzake kina Maria Sarungi wanapiga hela wakiwa nyuma ya komputa, yeye anakaribishwa Spaces kuwaponda kina Mbowe akizan fahari kumbe anajimaliza.
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe
Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.
enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini,na ana pesa
Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri,mpaka uchangiwe.

Mwisho

Muache apambanie kile anachokiamini .
 
Lissu ndiye anayefaa kwa nyakati hizi ndani ya chadema,huyu hana uchu wa mali huyu ni mwl Nyerere katika uhalisia halisi.
 
Siasa na harakati ndilo fungu alilolichagua lisu tangu tumboni mwa mama yake..

Kasome historia ya Lisu
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
Kwani hizo pesa alizipoteza lini na wapi hadi azitafute?Kila mtu na kipaji chake.Kitumikie kipaji chako cha kutafuta hela.
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
Pesa sio kila kitu!, kuna watu wanatafuta uongozi ili kupiga pesa, na kuna watu wanatafuta uongozi ili wawatumikie watu.
Wale wanaotafuta uongozi ili kupiga pesa, kwao fedha ndio kila kitu, watatumia fedha kufanya kila kitu!.
Ila wale viongozi watumishi wa watu, pesa kwao is nothing!, Lissu ameacha madola na ma euro mangapi kule Belgium na kurudi nyumbani kula vumbi?.

Merry Chritmas
P
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
Japo ni fefheha na aibu kwa ndugu jamaa na marafiki,

but chanzo kikuu cha mapato ya hiyo muungwana ni kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na wadau, hana ujanja na ni mvivu sana na mwenye mdomo sana 🎄
 
Back
Top Bottom