Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

Hapo hapo alipo ndio interest yake, hao kina kibatala wako na their interest. Lissu ni mwanasia za upinzani kuwahi kutokea tangu nyerere. Ni role model wa wanasiasa chipukizi wenye misimamo isiyoyumbishwa hata kwa tamaa za hela
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
Heri ya EX MASS Kwa wote humu
 
Hapo hapo alipo ndio interest yake, hao kina kibatala wako na their interest. Lissu ni mwanasia za upinzani kuwahi kutokea tangu nyerere. Ni role model wa wanasiasa chipukizi wenye misimamo isiyoyumbishwa hata kwa tamaa za hela
Lissu nyota yake ni Kali sana
 
Kwenye siasa ndio kuna "majihela" wewe, akina Mbowe wanajichotea mapesa watakavyo tu. Unadhani Boni Yai amejenga lile ghorofa lake kwa biashara ya mayai tu?
 
Kwenye siasa ndio kuna "majihela" wewe, akina Mbowe wanajichotea mapesa watakavyo tu. Unadhani Boni Yai amejenga lile ghorofa lake kwa biashara ya mayai tu?
Siasa hazitaki watu wakweli kama Lissu
 
Back
Top Bottom