Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

Pesa sio kila kitu!, kuna watu wanatafuta uongozi ili kupiga pesa, na kuna watu wanatafuta uongozi ili wawatumikie watu.
Wale wanaotafuta uongozi ili kupiga pesa, kwao fedha ndio kila kitu, watatumia fedha kufanya kila kitu!.
Ila wale viongozi watumishi wa watu, pesa kwao is nothing!, Lissu ameacha madola na ma euro mangapi kule Belgium na kurudi nyumbani kula vumbi?.

Merry Chritmas
P
Mbowe NI mtoto wa mjini. Anatumia chadema kuendeleza mambo yake binafsi tofauti na Lissu mtetezi wa rasilimali za nchi
 
Pesa sio kila kitu!, kuna watu wanatafuta uongozi ili kupiga pesa, na kuna watu wanatafuta uongozi ili wawatumikie watu.
Wale wanaotafuta uongozi ili kupiga pesa, kwao fedha ndio kila kitu, watatumia fedha kufanya kila kitu!.
Ila wale viongozi watumishi wa watu, pesa kwao is nothing!, Lissu ameacha madola na ma euro mangapi kule Belgium na kurudi nyumbani kula vumbi?.

Merry Chritmas
P
Yesu alikuwa hana haja na hela hadi akatundikwa msalabani, basi kama Lissu naye hana shida ya hela avumilie maumivu kama Yesu asilalamike wenzake wanapopiga hela.
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
Lakini tunawaona pia watu wana hela mingi kabisa lakini bado wanahangaika tu na mastress mengi kichwani na magonjwa mengi kabisa tena yale magonjwa yanaitwa sugu mwilini 😳🙄!

Duh 🙄 ! Hii dunia huwa nashindwa kuielewa !
Wengine wanalia na kipaza sauti kikiwa mkononi tena mkutanoni !
Hiii Bhagosha ! Mambo ya Dunia ni mengi ! Kumbe hata pesa ni kazi bure tu !
Wenye pesa mingi wanajua nasema kweli !!
Au uongo ndugu zanguni ??!😀😅😂
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
1. Unataka kutuaminisha kuwa pesa ni kila kitu?
2. Mbona Lissu anaungwa mkono hadi na wanaccm amewapa pesa?
3. mdukuzi fambaf sako wacha Lissu ammalize Mbowe abakiwe na pesa bila heshima
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
Wewe ni mjinga Sana ujue
 
Pesa sio kila kitu!, kuna watu wanatafuta uongozi ili kupiga pesa, na kuna watu wanatafuta uongozi ili wawatumikie watu.
Wale wanaotafuta uongozi ili kupiga pesa, kwao fedha ndio kila kitu, watatumia fedha kufanya kila kitu!.
Ila wale viongozi watumishi wa watu, pesa kwao is nothing!, Lissu ameacha madola na ma euro mangapi kule Belgium na kurudi nyumbani kula vumbi?.

Merry Chritmas
P
Correct !
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
Yaani Mbowe ana hela hadi Lisu amtetemekee, ni hela gani hizo anazo boss? Ulivyoongea ni kama vile Mbowe ana hela kuliko Mo. Ni hivi, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita, kama ana hela akaanzishe bank.

Unamshauri Lisu atafute pesa aachane na siasa, ila Mbowe unasema ana hela lakini humshauri aachane na siasa! Maajabu haya.
 
Muache apambanie kile anachokiamini .
Kila mtu ana yale anayoyaamini na ndio huwa furaha yake mahali ilipo kama akiyafanikisha !!
Pesa kwa watu wa namna hiyo huwa ni moja ya nyenzo za kufanikisha yale wanayoyaamini mioyoni mwao. !
Je ni kwanini Bara letu ni masikini sana ?!
Jibu ni moja tu “ Selfishness yetu “
 
Yaani Mbowe ana hela hadi Lisu amtetemekee, ni hela gani hizo anazo boss? Ulivyoongea ni kama vile Mbowe ana hela kuliko Mo. Ni hivi, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita, kama ana hela akaanzishe bank.

Unamshauri Lisu atafute pesa aachane na siasa, ila Mbowe unasema ana hela lakini humshauri aachane na siasa! Maajabu haya.
Hela huwahazitoshi mbowe anatumia hela zake kujiimarisha madarakani
 
Kumtoa mbowe ni kuitoa CCM kitu ambacho hakiwezekani
Duh 🙄 !
Lakini hata ikiwa hivyo watu watakuwa wameshajua vile ambavyo walikuwa hawavijui 😳
Lakini pia najijibu mimi mwenyewe kwamba hata ikiwa hivyo So what ??! 😳🙄
Is it going to change anything ?!
I don’t think so !
 
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.

Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.

Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.

Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.

Mwisho
Atafute pesa ila huja sema kivipi ujue zipo hata za mauzo kwa mboga mboga?
 
Ukweli mchungu.

Hawaoni wanaharakati wenzake kina Maria Sarungi wanapiga hela wakiwa nyuma ya komputa, yeye anakaribishwa Spaces kuwaponda kina Mbowe akizan fahari kumbe anajimaliza.
pumbavu, hamuwezi kumpangia mtu interest. Hana hela lakini ana watu wa ku motive interest yake
 
Hapo hapo alipo ndio interest yake, hao kina kibatala wako na their interest. Lissu ni mwanasia za upinzani kuwahi kutokea tangu nyerere. Ni role mode wa wanasiasa chipukizi wenye misimamo isiyoyumbishwa hata kwa tamaa za hela
 
Back
Top Bottom