Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe
Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.
enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.
Mbowe ni mtoto wa mjini,na ana pesa
Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.
Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri,mpaka uchangiwe.
Mwisho
Shangaa. Mbowe hataki kuachia chama kwa sababu anajua hela ziko hapo, kwa nini Mbowe asitoke aende kwenye biashara anazosema anazo hadi nje ya nchi?Hela ziko kwenye siasa unataka akazitafute wapi?
Hata mimi namuona Lissu bado anaweza kupambana na Samia lkn approach anayotumia ya kuwaponda wenzake sio sahihi.Lissu ndiye anayefaa kwa nyakati hizi ndani ya chadema,huyu hana uchu wa mali huyu ni mwl Nyerere katika uhalisia halisi.
Siasa ina hela nyingi namshangaa mleta mada et akatafute helaShangaa. Mbowe hataki kuachia chama kwa sababu anajua hela ziko hapo, kwa nini Mbowe asitoke aende kwenye biashara anazosema anazo hadi nje ya nchi?
Pesa Tanzania iko kwenye siasa.
Lissu hawapondi wenzake ispokuwa anawalipuaHata mimi namuona Lissu bado anaweza kupambana na Samia lkn approach anayotumia ya kuwaponda wenzake sio sahihi.
Kwa kifupi sana, ukiondoa uhai hela ni kila kitu.Ndugu zangu nisaidieni, hela ni nini?
Kwani hizo pesa alizipoteza lini na wapi hadi azitafute?Kila mtu na kipaji chake.Kitumikie kipaji chako cha kutafuta hela.Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.
Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.
Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.
Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.
Mwisho
Kwa hiyo hata zama za mawe za kale walitegemea hela kuliko nyama na matunda?Kwa kifupi sana, ukiondoa uhai hela ni kila kitu.
Hela ni nini?Kwa kifupi sana, ukiondoa uhai hela ni kila kitu.
Pesa sio kila kitu!, kuna watu wanatafuta uongozi ili kupiga pesa, na kuna watu wanatafuta uongozi ili wawatumikie watu.Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.
Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.
Mwisho
Japo ni fefheha na aibu kwa ndugu jamaa na marafiki,Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.
Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe.
Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe anaungwa mkono na ma CCM ambao wameshindikana kutolewa madarakani.
Wenzako kina Kibatara wanabadilisha magari wewe huna hata usafiri, mpaka uchangiwe.
Mwisho