Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

Hapo hapo alipo ndio interest yake, hao kina kibatala wako na their interest. Lissu ni mwanasia za upinzani kuwahi kutokea tangu nyerere. Ni role model wa wanasiasa chipukizi wenye misimamo isiyoyumbishwa hata kwa tamaa za hela
 
Heri ya EX MASS Kwa wote humu
 
Hapo hapo alipo ndio interest yake, hao kina kibatala wako na their interest. Lissu ni mwanasia za upinzani kuwahi kutokea tangu nyerere. Ni role model wa wanasiasa chipukizi wenye misimamo isiyoyumbishwa hata kwa tamaa za hela
Lissu nyota yake ni Kali sana
 
Kwenye siasa ndio kuna "majihela" wewe, akina Mbowe wanajichotea mapesa watakavyo tu. Unadhani Boni Yai amejenga lile ghorofa lake kwa biashara ya mayai tu?
 
Siasa hazitaki watu wakweli kama Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…