Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Inavyoonekana ni kama tukio hili ni la kufurahisha na lenye mafanikio kwa Tundu Lisu.

Hapawezi kuwa na maneno mengi ya kutosha kufanya Tundu lisu ajue anachofanya sio sahihi, lakini ni vizuri tu ajue iko siku na yeye pia ataandikiwa makala pia
ulitaka aseme nyeusi ni nyeupe ili uone ni mnafiki
 
Member yeyeto wa UN lzm bendera ipepee fatilia,pili ni mwanzo mpya wa mahusiano mema
Kama una kumbukumbu nijuze ndugu, Gaddafi hakuwa member? Saddam alijitoa au hakuwahi kujiunga kabisa? Yule wa Venezuela pia? Sina kumbukumbu nzuri za kuombolezwa kwa vifo vyao kimataifa, nikumbushe tafadhali.
 
Na msaliti mzee wa MIGA Lisu anashangilia sana.

Amefikia hatua ya kuionea aibu maiti kwamba kwa nini inaliliwa sana
 
Kama una kumbukumbu nijuze ndugu, Gaddafi hakuwa member? Saddam alijitoa au hakuwahi kujiunga kabisa? Yule wa Venezuela pia? Sina kumbukumbu nzuri za kuombolezwa kwa vifo vyao kimataifa, nikumbushe tafadhali.
Ukiuwawa huna heshima.
 
Tundu Lissu yuko smart lakini siasa hawezi. Atafute majukwaa mengine ya kufanyia harakati za aina yake. To be honest, in these few mourning days, a smart opposition politician would remain totally silent or talk less.
 
Tunamuombea mwendo mwema magufuli huko aelekeako.

Tundu lisu ni mwanasiasa wa muda mrefu kidogo, na amekua mwanasiasa wa kiunarakati kama mpinzani wa chama cha siasa cha ccm kilicho kwenye madaraka kwa muda wote.

Katika uongozi wowote uliopo iwe kwenye taasisi ya kijamii am ya kidini ama ya kibinafsi, au uongozi wa madaraka ya nchi (dola) mapungufu huwa ni lazima yawepo.
Kwa sababu hao wanaongoza no bin adam kama walivyo wengine.

Hii ya kukosea kwa bin adam yoyote alieko kokote ni kawaida ya asili ya ulimwengu kwa viumbe.

Mh tundu lieu alikua mkosoaji was serikali iliokuwepo mamlakani, kama ambavyo amekosoa serikali nyingine zilizo tangulia, huku kukosoa in sehemu ya utafutaji wake riziki kama alivyo fundi, mvuvi, karani, mwalimi au yoyote alikatika utafutaji wa riziki kwa ajili ya mahitaji yake kama kiumbe.

Hali na wale wanaokosolewa nao wanatumika katika nyanja yao nao wanatafuta riziki.

Kwa hio kila mmoja anatafuta maisha.

Lisu alikua akijua majira huwa yanabadilika hivyo nae ain ya upinzani na ukosoaji wake angeubadilisha ili kuendana na aina ya wakati.

Matokeo yake yalikuja kua mabaya sana kulikopelea kua na historia mbaya kwake na kwa nchi take.

Kilichomtokea serikali nayo imefanya makosa makubwa sana kuligumbia macho swala lake na gharama yake sio ndogo kwa serikali kujisafisha.

Lakini lisu amshukuru Mungu maana Leo yupo na asifurahi sana kufa kwa alidhani ni mtesi wake maana maisha yake bado yanaendelea.

Wakati mwingine ana heri kwa kua safari yake imekwisha kamilika, lakini lisu yeye bado anaendelea na hajui atafikaje.

Ni hero angelinyamaza na kuacha ya kupit yapite na yapite, kuliko kuyashupalia kwa maandiko kadha was kadha mwishowe na la kuongea huko mbele akalikosa.
 
Msubiri siku akirudi ukambebe mgongoni halafu uone mwisho wake kama haya makelele anayopiga now yatamsaidia chochote, ukimtua tu, na habari yake ndio imeishia hapo.
Mkuu, pole!! Nazielewa hisia zako aisee
 
The #Curse of Intellect#
Kulinganisha Maarifa na Ujuzi
Elimu na Busara.

Kuwa na Maarifa juu ya jambo hakukufanyi uwe mjuzi. Na Kuelimika hakukufanyi uwe na busara.
 
Hakuna hiyo ! Kuandika ukweli ndio kukosa uvumilivu ? mmezoea watu wa kurembaremba , kwa Lissu ni big NO , Jibuni hoja zake au pingeni

Naomba nikuulize swali Mkuu,unadhani Mbowe yeye ni mtu wa kuremba remba? Mbowe yeye hana machungu aliyopitia? Kwanini amekaa kimya kipindi hiki? Kama pana mtu ame earn my respect ni Freeman Mbowe na kwakweli acha tu aendelee kuwa M/Kiti hata kwa 20yrs to come,he is too smart.

TL alipata wafuasi wengi sana kupitia masaibu yaliyompata,anavyobwata bwata hivi,anawapoteza wote. Kama mna penda aje kugombea na pengine kuongoza hii Nchi,mwambieni amefail vibaya sana ktk kipindi hiki kutokucontrol emotions zake unless mnataka muendelee na wimbo ule ule wa “tumeibiwa kura” come 2025.
 

Hapana ndoto yake kuu ni kuwa Rais,nadhani 2025 wasipompitisha CDM atahama hadi Chama.Shida ni kuwa he thinks he is too smart than the rest Members of CHADEMA.
 
Mi naona itakuwa hatari zaidi kama tukipata Rais kama Lisu hapa tanzania na Afrika maana anavyotuandikia umombo sijui itakuwaje akiwa Rais nadhani ndiyo maana alisema kuwa ataongoza kwa shida kwani watanzania wengi hawajui kiingereza.
Tutafsilieni kwanza ndiyo tuendelee.
Kumekuwa na vituko vingi kwa viongozi wengi wa Afrika kama Lisi lakini Lisu anavunja rekodi kuwa rais mweusi kutoka Afrika aliyebeba uzungu kama wote na akivulumisha mashambulizi kutokea Yulopa, Hakika sasa tutakuwa kama wazungu yaani kama Michael Jackson hivi.
 
Una kichwa cheupe kweli, eti one of founder wa jf una mihemko?! can't blv this, nimekwambia kambebe mgongoni akirudi na usimshushe.

Huyu wala siyo Invisible huyu alijaribu tu kuiga ID. Founder mwenyewe Invisible ni kama Melo tu, huwa hana huu muda wa kujibu comments,huwa analeta sensitive topic na anaachia watu wanahangaika nayo.
 
Mbowe alishamwambia Magufuli siogopi mtu, I remember that, but look at him now, he is quite, why not Lissu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…