Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli


Hunizidi Mimi Mkuu,kanidissapoint sana. Sijui akili yake inawaza nini? Ile huruma niliyokuwa nayo imeondoka kabisa. Huyu kama ndiyo ana ndoto ya kuja kugombea ndiyo atawajua Watanzania vizuri. Wenzie kina Mbowe wamekaa kimya anadhani wao ni wajinga?
 
Na wewe ni mdudu gani tena?
Waambie umoja wa Mataifa wasiishushe bendera kumpa heshima huyu unayemwita Dicteta!!

Mkuu, jifunze kukubali Kazi za watu hata kama mtu mwenyewe humpendi, basi ukubali kazi zake
 
Worst chapter of our beautiful country's history
 
Hakuna hiyo ! Kuandika ukweli ndio kukosa uvumilivu ? mmezoea watu wa kurembaremba , kwa Lissu ni big NO , Jibuni hoja zake au pingeni
 
Ana kiherehere huyu jamaa anaonea wivu maiti Lissu ni kibaraka hayuko political matuared he is stupid and selfish.......
kamwe hawezi kuwa raisi wa Tz atabaki kuwa mpiga kelele
 
Ana kiherehere huyu jamaa anaonea wivu maiti Lissu ni kibaraka hayuko political matuared he is stupid and selfish.......
kamwe hawezi kuwa raisi wa Tz atabaki kuwa mpiga kelele
Mkuu ni vizuri ukaonyesha kilipo kiherehere chake ili na sisi tukione , hoja hupingwa kwa hoja
 
Huyu jamaa anapenda misifa ni jinga kabisa anaona watu wanatoa heahima zao kwa hisia na upendo anaona wivu.......ni lipumbavu flan hv kamwe hawezi kuwa raisi wa Tz atabaki hivyo na mipambe kupiga kelele.....
 
Huyo mropokaji uhai wake hauna faida yoyote kwa Tanzania na watanzania. Ana kipi chakutufanya tumfikirie? Huyo ni mfu anaeishi.
Madaraja amekufa ila kumbukumbu lake halitatutoka watanzania hasa kila tukiyaangalia madaraja.
Mjinga kabisa nimemdharau sana huyo jamaa
 
Toafauti ya Mtu na Kiatu huonekana kwa mtu na mtu mtaka vitu ambae viatu visipomtosha hukeuka kuwa kiatu.
 
Hao ni wapambe wa Lissu....
wapuuzi hawajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…