Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Huna hoja , tulia tuache wengine tuendelee kuuchambua uongozi wa Magufuli , wala usitake kujinyonga , viongozi wote huchambuliwaJamaa yenu ni mjinga na hayuko political matuared..... utafikiri mwanafunzi wa secondary kazi yake ni kukamia.....!!!!!?
mkamia maji hayanywi....
Na ww huna hoja yyte zaidi ya upambe.....Huna hoja , tulia tuache wengine tuendelee kuuchambua uongozi wa Magufuli , wala usitake kujinyonga , viongozi wote huchambuliwa
Vipi kuhusu hizo hoja za Lissu hapo juu , kwanini msikusanyike kuzijibu basi ?Na ww huna hoja yyte zaidi ya upambe.....
niwaambia wazi kabisa kazi yenu itabaki kupiga kelele tu huku mitandaoni kamwe narudia kamwe CDM haiwezi kuja kutawala Tz....
Na kumbukumbu ya mropokaji ipoHuyo mropokaji uhai wake hauna faida yoyote kwa Tanzania na watanzania. Ana kipi chakutufanya tumfikirie? Huyo ni mfu anaeishi.
Madaraja amekufa ila kumbukumbu lake halitatutoka watanzania hasa kila tukiyaangalia madaraja.
No need to reply.....Vipi kuhusu hizo hoja za Lissu hapo juu , kwanini msikusanyike kuzijibu basi ?
Huwa najiuliza?hivi siku moja lissu ikatokea akamjua adui yake wa ukweli atafanyaje?Ndani ya moyo wa Lissu, ukweli unamsuta na anafahamu adui yake sio Magufuli anamtuhumu tu kama scapegoat.
Lissu was compromised na analijua hilo yeye mwenyewe, makosa yake ni kutumikia mabeberu.
Kauli za mtu zinamfunga kwanini Lissu aendelee kujihami kuhakikishiwa usalama wake atakaporudi wakati Magufuli keshatangulia mbele za haki?
Who else would want to harm Lissu now and why? Only he has the answer knowing his crimes against the state.
jamaa ni matataSasa huyu jamaa na ngeli yake ya ukweli namna hii alikuwa anajihangaisha nini kwa siasa...nimeikubali english yake.
Shida mmezoea kuficha maovu ya wafu....PolenKazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Je kama kaandikiwa? Kumbuka yuko Ulaya.
Lawyer tena anaandikiwaje?Je kama kaandikiwa? Kumbuka yuko Ulaya.
Ah mie ningekuwa yeye ningekuwa namwaga tuu articles au nipo zangu court room na suit matata naanza mambo ya cross examine the witness na my well polished english.....your honor i would like my client to be released on his own recognizance🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamaa ni matata
Mungu alivo msawa ,yeye ndo katangulia kijijin ,mwezako yuko ulaya.shameTundu Lissu ni mpango wa Mungu. Kama Magufuli alimtuma Paul Makonda na kikundi chake wakamwagie mvua ya risasi, kisha wakamzike kijijini kwao Ikungi Singida. LAKINI Lissu hakufa
Na aliponusurika akapelekwa kutibiwa Nairobi na Belgium huku Magufuli akasitisha asilipiwe gharama za matibabu, akamnya g'anya mshahara na mafao ya ubunge akamnya g'anya na ubunge LAKINI Lissu HAKUFA
Bado akaja kugombea u-Rais na akawa na mvuto kuliko Magufuli na Magufuli analijuwa Hilo ndiyo maana akaamua KUIBA UCHAGUZI wote na kujipa 84%.
Magufuli pamoja na kulindwa na ma unduki na magari ya kudhibiti internet na kila kitu amekufa kizembe tu kwa kukaidi COVID19 na sasa maiti yake inazurulishwa kila mahali, LAKINI Tundu Lissu yuko HAI. Kama huamini katika Mungu hapa lazima UKUBALI kuwa MUNGU YUPO.
Usimchukulie Tundu Lissu kirahisi, anakubalika na kueleweka na WATANZANIA wengi sana. Tuombe uhai tuione 2025
Alipewa dili la ukibaraka wa acacia lakini likabuma.Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Sawa mkuu Ahsante kwa kuongezeaHahahah mkuu "welter" imeshindikana....maana yake ni idadi kubwa ya vitu..so hapa Lissu alimanisha "kwa idadi kubwa ya majina bandia" kama.....
mkuu
Ana lugha nzuri ya kiingereza hili liko wAziJe kama kaandikiwa? Kumbuka yuko Ulaya.