Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Brought here by OKWI BOBAN SuNZU ....Chadema party member...and supporter of Lissu...not to mention his football club he supports in Tanzania
 
take my note, Mama Samia HAWEZI na hatashirikilana nanyi tena katika Kuteka, Kutesa, kupoteza, kubambikizia watu kesi na Kuua watu - Kitakachofanyika ni mwenye makosa yoyote yale kufuata mkono wa Sheria zetu za nchi.

Mama ana hofu ya Mungu, na ndiyo maana washirika wa marehemu mnatoa michozi ya damu kumlilia baba yenu. Who knows - je kama Mama Samia akiamua kuunda Tume ya kijaji kuchunguza matukio yote ya Kupotea, Kutesa, Kubambikiza kesi na hata Mauaji yoyote yenye utata yaliyojitokeza? uwezo huo anao kilichopo ni utashi wake tu ili aliamshe dude !!

Kesheni mkiomba ili asiamue kufanya hivyo, maana mtaumbuka wengi kwa mafungu.
 
Lissu hawezi pata urais ndani ya inchi hii na alichokifanya marehemu kilikua sahihi,binafsi namchukulia lissu kama mamruki tu na msaliti wa inchi hii alionywa mara nyingi sana hakuwa msikivu na lile ni onyo tu hawakutaka kumuua
Hata mimi sina hamu tena ya Lissu kuwa Rais kwa sababu nilitaka Lissu awe Rais huyu anayeanikwa juani kutwa kucha akiwa hai ili aone maana ya uongozi.
 
Lissu kwenye ubora wake
Lisu amejimaliza!! Amekosa hekima!! Huwezi kumshambulia kipenzi wa watanzania halafu utegemee kuwa watakuunga mkono. Nadhani Lisu amekata tamaa baada ya kushuhudia watanzania walivyokuwa wanampenda Sana Magufuli!! Nadhani hakuwa analijua hilo kwa uhakika. Akitaka kujua kuwa Lisu si tu kuwa hakubaliki, lakini kwa sasa anachukiwa pia, basi na aje Tanzania aone jinsi ambavyo watanzania watajipanga
barabarani si kwa lengo la kumpokea bali kwa lengo la KUMZOMEA!! Nina uhakika akiamua kuja Tanzania atakuja kimya kimya na usiku!! Lisu umejitakia balaa hili mwenyewe!!
 
Nashukuru umezielewa kazi za hao wawili!!

Kwa bahati mbaya huyu wa pili hatashika hiyo nafasi anayoitolea udenda maisha yake yote
 
Mbona hukunukuu maandiko wakati ule Lissu anapigwa risasi? Yale yasemayo usiue, mpende jirani yako kama nafsi yako, lile unalotaka mtu akufanyie basi na wewe yafanye kwa wengine. Au umejiunga na ukristo tarehe 17/03/2021 saa tano usiku?
 
Lissu analindwa na wasioonekana dhidi ya mabaki ya wasiojulikana

CCM wanazidi kuwajaza chuki za kijinga Wananchi kuwa eti Lissu na Mabwebweru ndio wanamkono kwenye kifo cha Rais
 
Kwani kuna siku CCM walimshangilia Lissu? hao watakaomzomea ni sawa tu maana si ni wapinzani wake? Mbona hata huyu mnayezurula naye vichochoroni na juani kutwa kucha alizomewa kule Mbeya? Kuzomewa na wapinzani wako ni jambo la kawaida kabisa na wala usiamuru wapigwe risasi
 
Andiko hili la Lisu limelenga kuendeleza propaganda kwa wazungu mabwana zake, wanaompa mkate wa siku ndio maana ametumia lugha wanayoielewa mabeberu wake!!
 

Akakojoe alale asituletee uboya hapa!!
 
Lissu analindwa na wasioonekana dhidi ya mabaki ya wasiojulikana

CCM wanazidi kuwajaza chuki za kijinga Wananchi kuwa etia Lissu na Mabwebweru ndio wanamkono kwenye kifo cha Rais
CCM imeshindwa vita, askari wao amepotea kizani kabla ya kumaliza vita !! Uliyetaka awe marehemu anaishi - hili la kuwajaza watu ujinga ni dhambi nyingine pia - Watazidi kuumbuka as days goes on.

Fungua la hili jambo zote anazo Mwenyezi Mungu - watachomoka mmoja mmoja.
 
Nashukuru umezielewa kazi za hao wawili!!

Kwa bahati mbaya huyu wa pili hatashika hiyo nafasi anayoitolea udenda maisha yake yote
Hizo ni kauli zenu zisizo na uhalisia. Dunia haitabiriki. kwani hata huyu mlitegemea leo atakuwa anaanikwa juani na kuzurula naye mitaani, barabarani na vichochoroni bila huruma namna hii? Si muliaminishwa kwamba ni Chuma? Jiwe? Sasa yako wapi hayo majigambo? Tupendane tu na kutakiana mema.
 
Hawa watu wawili Kwa maana ya Jembe na mbeligiji, kila mmoja amejitahidi kupandikiza mbegu mioyoni mwa Watanzania

Kunaaliye wapandikiza Watanzania wachaache Sana kuwa na chuki dhidi ya nchi Yao wenyewe, chuki na maendeleo Yao, matusi na kufuru Kwa mola, Kwa sababu haiingii akilini mtu ambaye naye ni marehemu wa kesho kumsema marehemu wa leo, hii ni kufuru

Mwingine ambaye hayuko nasi leo, amewapandikizia Watanzania katibu wote, kujiona wao ni wazawa na wanastahili chema kutokana na utajiri wa nchi Yao, amewapandikizia ujasiri mithili ya kutoogopa mabeberu, roho ya ushujaa na uzalendo, roho ya utajiri na kujiona inawezekana Kwa kila kitu, roho ya kufahamu kuwa, bila Mungu kusukuma gurudumu la maisha ni kazi ngumu, roho ya umoja, Ujasiri na uthubutu wa kutenda bila kujali zile roho zilizopandwa na mbeligiji zipingazo kweli na kusema vibaya nchi kwa uzushi na uwongo!!

Sasa tuone!!

Na sasa tupo kwa mama Shupavu, mama Jasiri, tutazishinda tena hizi roho chafu
 
CCM ni watu wapenda shari shari tu - Msiba huu wameufanya mali yao wote - kwa sasa ni kumtembeza maiti kupata millage za kisiasa ili kujaribu kusafisha yote yaliyomhusu marehemu enzi za uongozi wake.
 
Unakera, sasa unatofauti gani na wale wanaosemaga wanaume wote ni mbwa?

Kwann usimtafute aliyedhihaki jaribio la mauaji kwa TL ndo umwambie hayo mambo ya kudhihaki?

Ww umeshawahi niona nikidhihaki jaribio la mauaji la TL? Maana unanijumuisha tu bila mpangilio.

Unatoa majibu ukiongozwa na chuki. Unajibu tu hujiulizi.

Kuhusu kumuaga JPM hayo ni maamuzi ya serikali, familia, ndugu, rafiki na wafuasi wa marehemu.

Wewe upo kwenye kundi lolote kati ya hayo? Kama haupo tulia heshimu maamuzi ya wenye msiba, akifa anayekuhusu zika haraka hakuna atakaye kuuliza, maamuzi yako yataheshimika.
 
Kabla ya kuwa Raisi ulimwona wapi akitukana nchi na viongozi wake?
Ulimwona wapi akiuza nchi Kwa mabeberu?
 
Bila shaka wewe ni mmoja kati ya wachache wanaotaka kuficha udhalimu wa Magufuli! Ni vema maovu yake yote yaorodheshwe ili kuweka kumbukumbu sawa kwa vizazi vijavyo na pia funzo kw viongozi wajao.
 
Died with covid or not, you should stop writting a lot and challenging him. He might win while in coffin/grave through his followers and you might end up failing to visit your nation for the rest of your life.
Mungu fundi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…