OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na kuiuza na sasa anamiliki Ihefu SC.
Wadau humu tumekuwa tunauliza, sio dhambi kumiliki mali lakini kwa nini umiliki kwa kificho kama kweli una vyanzo vya kumiliki mali?
Kwa nini anakuwa mmiliki wa timu kila anapopata uwaziri?