Tundu Lissu: Timu ya Ihefu ni ya Mwigulu, yeye Mwigulu alikana

Tundu Lissu: Timu ya Ihefu ni ya Mwigulu, yeye Mwigulu alikana

Una uhakika anamiliki kwa kificho..?
Ushawahi kuona fomu yake ya mali za watumishi wa umma kama ameijaza hio team au lah..?
Msipende kubeba hear say alafu mnataka tufanye discussion.
Huyu mtu anapenda sana sympathy, anacheza na akili za watu, ndo akina Mark Antony ..., I come to bury Caesar, not to praise him.
 
Yan tungekuwa ktk nchi inayojielewa muda huu angekuwa ndani. Singida united, Singida big stars, singida fountain gate, Singida black stars, Ihefu haiwezekani kuna kitu nyuma ya pazia
 
Back
Top Bottom