kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ili kuigawia yanga point sita achukue ubingwa usisahau yeye ni mjumbe wa baraza la wadhamini wa yanga!View attachment 3033032
Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh.Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na kuiuza na sasa anamiliki Ihefu SC.
Wadau humu tumekuwa tunauliza, sio dhambi kumiliki mali lakini kwa nini umiliki kwa kificho kama kweli una vyanzo vya kumiliki mali?
Kwa nini anakuwa mmiliki wa timu kila anapopata uwaziri?