OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Lakini Sio SasaIhefu,
The Utopolo brokers
wa kunyumba mwigulu si ni ndugu yako katika imani ya utopolokwinho? si ni dhambi kumsema hadharani ndugu katika imani, munasemana katika vikao mweeehBinafsi naamini hela zinazotimika kununulia maproo wake zinatokana na tozo anazotulipisha wananchi kibabe. Maana hata mchangnuo wa matumizi yake, wengi hatuujui.
Football clubs ni Money Laundry SchemesBinafsi naamini hela zinazotumika kununulia maproo wake zinatokana na tozo anazotulipisha wananchi kibabe. Maana hata mchangnuo wa matumizi yake, wengi hatuujui.
Mimi linapokuja suala la maslahi ya Taifa, hata angekuwa nani, ningemmimina.wa kunyumba mwigulu si ni ndugu yako katika imani ya utopolokwinho? si ni dhambi kumsema hadharani ndugu katika imani, munasemana katika vikao mweeeh
Kama kwenye tamko la Mali na Madeni kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma hataijata IHEFU, basi TAKUKURU wachunguze. Yawezekana IHEFU pia ilipewa vibali vya kuagiza sukariView attachment 3033032
Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh.Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na kuiuza na sasa anamiliki Ihefu SC.
Wadau humu tumekuwa tunauliza, sio dhambi kumiliki mali lakini kwa nini umiliki kwa kificho kama kweli una vyanzo vya kumiliki mali?
Kwa nini anakuwa mmiliki wa timu kila anapopata uwaziri?
Kabisa mkuuFootball clubs ni Money Laundry Schemes
Mpira ni sehemu pekee ambapo uhalifu umehalalishwa na serikali huwa haziingilii kati.Kabisa mkuu
Una uhakika anamiliki kwa kificho..?View attachment 3033032
Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh.Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na kuiuza na sasa anamiliki Ihefu SC.
Wadau humu tumekuwa tunauliza, sio dhambi kumiliki mali lakini kwa nini umiliki kwa kificho kama kweli una vyanzo vya kumiliki mali?
Kwa nini anakuwa mmiliki wa timu kila anapopata uwaziri?
Dodoma ni ya Mazinde.Dodoma Jiji ya ndugai.
mbeya city ya tulia
mashujaa ya mpango
πππππ
Mwiguru anaweza kija kuvunja record za upigaji katika hili Taifa, Muda utaongea.View attachment 3033032
Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh.Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na kuiuza na sasa anamiliki Ihefu SC.
Wadau humu tumekuwa tunauliza, sio dhambi kumiliki mali lakini kwa nini umiliki kwa kificho kama kweli una vyanzo vya kumiliki mali?
Kwa nini anakuwa mmiliki wa timu kila anapopata uwaziri?
Jamaa anatakatisha pesa zetu za 10%Kabisa mkuu
madelu ni fisadi lililokubuhu nchi hii kwa sasa na amejikita mizizi haswa na hata mama chura hawezi kumng`oa kiukweli kwa jamaa tumechelwa kama taifa otherwise tufanye kama kenyaView attachment 3033032
Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh.Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na kuiuza na sasa anamiliki Ihefu SC.
Wadau humu tumekuwa tunauliza, sio dhambi kumiliki mali lakini kwa nini umiliki kwa kificho kama kweli una vyanzo vya kumiliki mali?
Kwa nini anakuwa mmiliki wa timu kila anapopata uwaziri?
pamba na geita gold jeDodoma Jiji ya ndugai.
mbeya city ya tulia
mashujaa ya mpango
πππππ
Money LaunderingView attachment 3033032