Tundu Lissu: Timu ya Ihefu ni ya Mwigulu, yeye Mwigulu alikana

Ili kuigawia yanga point sita achukue ubingwa usisahau yeye ni mjumbe wa baraza la wadhamini wa yanga!
 
Mwigulu analeta ushamba wake kwenye mpira msimu ujao ihefu itafungwa mechi zote mbili na Simba.

Anahakikisha Yanga inakuwa na matawi mengi ya kuchukulia points tatu lakini kwa aina ya usajili unaofanywa na Simba msimu huu lazima watie akili. Tutapambana na kila aina ya hujuma inayoelekezwa kwetu.
 
Wasaidizi wa Samia wanafanya ufisadi mkubwa wa pesa lakini kinachofanyika gizani kuna siku huanikwa juani.

Huu wizi utakuja tu kuanikwa mbele ya macho ya watanzania. Hakuna aijuaye kesho inafanana vipi.
 
Vichwa vya treni vilikanwa.
Madeni yalikanwa.
Ni sawa tu.
 
Kabla ya mechi na yanga alienda kuitembelea, kocha wa Afrika kusini aliyekuwa kufundisha Singida big kabla ya kuuza anasema aliitwa na waziri wa fedha kitu aluchodai haijawahi kutokea kwenye kazi yake kuelekezwa namna ya kufanya.
Ameharibu ligi kwa kuvunja kanuni makusudi kwa kutoa wachezaji kwa mkopo kinyume na kanuni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…