Una uhakika anamiliki kwa kificho..?
Ushawahi kuona fomu yake ya mali za watumishi wa umma kama ameijaza hio team au lah..?
Msipende kubeba hear say alafu mnataka tufanye discussion.
Yan tungekuwa ktk nchi inayojielewa muda huu angekuwa ndani. Singida united, Singida big stars, singida fountain gate, Singida black stars, Ihefu haiwezekani kuna kitu nyuma ya pazia